Mabagala i hope uko vzur,
Huyu mpuuz anadai toothpaste lak moja na kitu, ww ni mtumiaj hebu mueleze.
Na cjamwambia ajiunge lakn cjapenda upotoshaj wake wa wazwaz huku hana facts zozote, zaid ya blah blah za vijiwe vya kahawa!!!
Hata wewe ni msukule kwa kununua ostentatious goods.., yaan binadam wanatabia ya kutaka kununua vitu vya hali flani ili kuji tofautisha na wengine hata kama hivyo vitu havina chochote cha ziada.., mfano wewe hapo..Mimi kujiunga siwezi ila ni mteja wa bidhaa zenu kama sabuni, toothpaste, aftershave, nk nk
Hata wewe ni msukule kwa kununua ostentatious goods.., yaan binadam wanatabia ya kutaka kununua vitu vya hali flani ili kuji tofautisha na wengine hata kama hivyo vitu havina chochote cha ziada.., mfano wewe hapo..
Hongera..!!.., tutaiga mfano wako mzuri.., vipi na wewe ulipungua uzito ndani ya siku 9 kwa shs. laki 3..??!Mkuu mimi sinunui sababu ya bei, napenda tu kuzitumia kama wrwe unavyopenda kutumia sabuni kama protex au dettol, sinunui sababu wewe unatumia. Aliyenambiw nifanye hii biashara nilimwambia sina muda ila anaweza akaniuzia nikala mwenyewe
Hongera..!!.., tutaiga mfano wako mzuri.., vipi na wewe ulipungua uzito ndani ya siku 9 kwa shs. laki 3..??!
Ni ajabu sana wizi wa mchana namna hii.., we wasikilize hawa waliojiunga na kutumia bidhaa zao wanasemaje hapa.., Mnawachukualije forever living products?Hawa FLP wasanii kinoma nilihudhuria semina yao moja wakitoa ushuhuda ndo utaona upuuzi wao..oooh mm naingiza 10m per month akitoka ukumbini anaomba lifti0🙂...
Enos Salema
Jamaa namkubali sana nilipiga nae kazi vodacom jamaa mshiko anao maana kanunua gari Discovery4 mpya pale posta na pia ana ghorofa moja na yupo around 30yrs....FLP nzuri Keep it up Big Sam
Mkuu sina shaka umetumwa kuja kusafisha huu uozo alio harisha mkuu BIGSAM.., pili pia sina shaka kwamba wewe ni msomi wa hali ya juu sana.., kwa jinsi unavyozungumza utakuwa ni msomi tu..., ila tatizo unaelekeza nguvu za usomi wako in the wrong direction. Mkuu.., hivi kwa akili zako hizo nyingi hivyo.., unaweza ukaniambia kwamba FLP inaweza ikamfanya mtu yeyote yule akawa billionea strictly kwa kupata faida kulingana na kazi aliyoifanya ya kuuza food supplements..??! (SIO DAWA!, hakuna dawa hapo ni uongo mtupu!).., Unaweza ukaniambia kwamba FLP inaweza ika-survive hata kwa mwaka mmoja tu strictly kwa kuuza bidhaa zake kwa wateja ambao SIO MEMBERS..??! LA HASHA!! Ili FLP iweze ku-survive ni LAZIMA.., Narudia tena ni LAZIMA new members wa kutoa shs.750,000/= wapatikane ili kuweza kulisha walio juu kwenye pyramid (Hawana ujanja mwingine). Na pia ili mtu aweze kuwa billionea ni lazima pamoja na kuuza food supplements pia aweze ku-recruit misukule wapya ili na yeye aweze kupata commission yake kutoka kwenye ile 750,000/= (Hana ujanja mwingine wa kumfanya awe billionea).FRANCIS DA DON Big Sam
Wakuu,
Kuhusu Pyramid Scheme naomba nitoe ufafanuzi kidogo hapa..
Kila kitu kwenye maisha yetu ni Pyramid Scheme. Kwanzia familia, Serikali,....., BLAH BLAH BLAH...!
Hodi wana JF! Hivi karibuni kulikuwa na thread kuhusu Forever Living. Wachangiaji wengi waliponda sana hii kitu. Lkn nimeambiwa kuwa jana jioni baada tamasha pale Jamhuri Stadium Dodoma, JK alienda kula chakula cha jioni na hawa jamaa pale St Gasper. Na leo mchana anahudhuria mkutano wa hawa jamaa pale Dodoma Hotel. Ataomba yana na mawaziri 6. Nasikia Forever living ni wa pili au wa tatu kulipa kodi kubwa serkalini.
Hii imekaaje? Mimi nilikuwa nadhani (na watu wengine wengi) hawa jamaa ni matapeli fulani hivi. Inaelekea shughuli zao ni halali!
Nawasilisha!
Ina maana wanalipa kodi kubwa kuliko makampuni ya sim na yanayochba madini?
Mkuu sina shaka umetumwa kuja kusafisha huu uozo alio harisha mkuu BIGSAM.., pili pia sina shaka kwamba wewe ni msomi wa hali ya juu sana.., kwa jinsi unavyozungumza utakuwa ni msomi tu..., ila tatizo unaelekeza nguvu za usomi wako in the wrong direction. Mkuu.., hivi kwa akili zako hizo nyingi hivyo.., unaweza ukaniambia kwamba FLP inaweza ikamfanya mtu yeyote yule akawa billionea strictly kwa kupata faida kulingana na kazi aliyoifanya ya kuuza food supplements..??! (SIO DAWA!, hakuna dawa hapo ni uongo mtupu!).., Unaweza ukaniambia kwamba FLP inaweza ika-survive hata kwa mwaka mmoja tu strictly kwa kuuza bidhaa zake kwa wateja ambao SIO MEMBERS..??! LA HASHA!! Ili FLP iweze ku-survive ni LAZIMA.., Narudia tena ni LAZIMA new members wa kutoa shs.750,000/= wapatikane ili kuweza kulisha walio juu kwenye pyramid (Hawana ujanja mwingine). Na pia ili mtu aweze kuwa billionea ni lazima pamoja na kuuza food supplements pia aweze ku-recruit misukule wapya ili na yeye aweze kupata commission yake kutoka kwenye ile 750,000/= (Hana ujanja mwingine wa kumfanya awe billionea).
MWISHO. ELIMU YAKO HAIJAKUSAIDIA.
Mkuu FRANCIS DA DON,
Sipo hapa kusafisha chochote. FLP hanihitaji mimi nije kusafisha, Mimi nakuelezea kwa uzoefu wangu. Na pia mimi sio msomi hata wa hali ya juu, ni raia wa kawaida kabisa. Situmi nguvu kuhalalisha ninachoamini kiwe kweli. Upo sahihi kuamini unachoamini na ni sawa kabisa ukiendelea kuamini hivyo.
Hii biashara sio rahisi.. Unahitaji kuwa expert kuweza kutengeneza hizo billioni wanazotengeneza hao ambao tunapewa mifano. Ni kweli unaweza ukatengeneza billioni kwa kutumia hizo suppliment (and yes sio dawa). Ila billioni haitengenezwi kirahisi hivo, na sio ndani ya mwezi moja au miwili. Unatakiwa ufanye kazi ya kujenga network yako, wape knowledge ya kutosha downlines wako kwa generation tatu na uendelee kuongeza downliners wengine watakaouza hivo bidhaa. Hivi unafikiri mtu yeyote yule anaweza kutengeneza bilioni kwenye biashara yeyote ile tukiacha hii kirahisi? Hamna, ila with hard work yes inawezekana.
Unachoshindwa kujua ni kwamba bidhaa zote ambazo zipo Tanzania za FLP zimekuwa authorized na TFDA. Yes serikali imezipitia na kuzipitisha inamaana serikali inajua kila kitu FLP inachofanya, ipo ina operate kwa miaka 8 sasa, sio kitu kinachokuja kufungwa na serikali leo au kesho. Hiyo sahau kabisa. Bidhaa zake ni bora hiyo haina mjadala tatizo ni kwamba wauzaji wengi hawana elimu ya kuuza hizo bidhaa, wanazipa sifa ambazo hazina. Watu wanadhani ni dawa.
FLP inaweza kuservive ndio kwaababu watumiaji wa bidhaa ni wengi kuliko wanachama. Inamaana sasa hivi FLP inaendeshwa na non members kama consumer wa bidhaa. Hivi unafikiri members ndio wana consume hizo products zote zinazouzwa kila siku wenyewe? Hakunaa.... watumiaji wa products ni wengi mnoo ambao sio members kabisa. FLP ipo alive for 30 years na biashara yao ni products, tena hasa za aloe vera.
Kingine ambacho naona huelewi ni kwamba, wewe ambaye ni upline unachukuwa percentage kwa generation 3 deep basi. Haiendi zaidi ya hapo. Tunasahahu kwamba kuna watu wanatumia dawa ya mswaki kila mwezi wana order, wengine aloe vera gel kila mwezi wanazitumia na products zao zingine 200. Repeated costomers wapo kibaaao. Sasa unafikiri new recruite ndio inaleta hela pekee? hela inakuja pale mtu anapofanya mauzo mazuri na sio kila mtu utakaye mrecruite atafanya mauzo mazuri. Inamaana kama ukiingiza watu kumi na wote hawafanyi chochote kila haijalishi wamenunua vitu vingi kiasi gani wewe upline wake biashara yako inakufa. Sasa hii zote sio kazi rahisi.
Narudia tena. Hii sio biashara ya kukufanya bilionea kwa mwezi moja. Lakini unaweza kuwa bilionea kwa kuuza hizi "suppliments"
The Don naomba upeleke haya madai yako mahakaman, maana kwa maelezo yako FLP icngekua hapa ilipo!!!
Ww endelea kubwabwaja huku wadau wanakamata fursa!!!
Ntarud kesho kutoa ufafanuz wang wa mwisho kabisa!!!
Enos Salema
Jamaa namkubali sana nilipiga nae kazi vodacom jamaa mshiko anao maana kanunua gari Discovery4 mpya pale posta na pia ana ghorofa moja na yupo around 30yrs....FLP nzuri Keep it up Big Sam