Inasikitisha na kuhuzunisha sana...ndoto za hawa mabinti zimekatishwa na washenzi wachache wanaodhani Mungu ni wa kwao pekee yao na amewapa ulimwengu pekee yao...INAUMIZA SANA...
Woooooteeee kwa pamoja tuungane bila kuchoka KULAANI UPUZI HUU...
Tafakari...
Mkoroshokigoli long time no see! Happy new yearBoko haram ni wahun tu kama walivyo wahun wengine kama panya road au watu wanaochota pesa za umma kwa Lumbesa
Inasikitisha na kuhuzunisha sana...ndoto za hawa mabinti zimekatishwa na washenzi wachache wanaodhani Mungu ni wa kwao pekee yao na amewapa ulimwengu pekee yao...INAUMIZA SANA...
Woooooteeee kwa pamoja tuungane bila kuchoka KULAANI UPUZI HUU...
Tafakari...
mshana jr nipo sana mdau,haya mambo ya escrow yalituficha sana,unajikuta kwenye uzi mmoja tu kwa muda mrefu.Thanks much,Allah atupe siha njema mwaka huu 2015,mwaka wa mavuno,mwaka wa vijembe,mwaka wa fitna,mwaka wa watu kupewa fulana mpya,khanga mpya,vilemba vipya na sahani za pilau,mwaka ambao watanzania watarudishiwa pesa zao wanazoibiwa kwa jina la takrima.Tupo pamoja mdauMkoroshokigoli long time no see! Happy new year
mabinti walikuwa wabichi kabisa hawa hata hawajaguswa.dah majaa yanafaidi si mchezo
we akili yako inawaza ngono tu.watu tunaumizwa na ukatili wao .wew unaleta habari kwamba wanafaidi.
Kibaya hapo ni kuwakosesha Elimu, lkn ni kweli jamaa wanawafaidi kwakuwa wanawagegeda na hata wangekuwa kitaa wangekua washaanza kugegedwa na ukute wengine tayar walikuwa wazoefu, dunia yenyewe hii
Ulisikia wanawake waliokuwa wanajitoa mihanga kwenda kuburudisha wapiganaji wa Islamic State kule Libya? Tena wengi walitoka Africa, so may be it is part of the education waliyokuwa wakifundishwa maana nikicheki tu mavazi yao ndo mulemulee ...may b wangekuwa wako dini tofauti nawaliowateka ...apo ndo ingewahurumia doing something against their faith. Nisawa na Mmang`ati aolewe na Mmasai
walikua wakristo,ila itakua waliachiwa maana hata nigeria hii habari walishasahau