Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Wapenzi na washabiki wa ccm na cdm hasa cdm nawalinganisha na wasjabiki wa DJ Trump wao ni vigumu kutumia akili zao ni kama bendera ama fisi ama nyumbu
Hao "tunaoshabikia" ni akina nani? Btw, hizo unazoita negatives ni nini?! Ina maana wakisema Utawala wa Magufuli unakiuka katiba wakati ni kweli unakiuka katiba; hiyo ni negative?! Ina maana wakisema Utawala wa Magufuli unakandamiza vyama vya upinzani wakati ni kweli unakandamiza upinzani, how come unaita negative?! Kuusema ukweli~Mbona mnashabikiaga Lissu na Ngurumo wakiandika negatives mkubali pia postives zikiandikwa ama siyo na ninyi mtakua kama wenzenu wa Lumumba wa kusifu bila kukosoa
Nimeshasema hapo kabla kwamba, hiyo habari sio ya Forbes Africa bali ni taarifa iliyowekwa hapo na Penras kwa malipo maalumu! Na hao Penras na wenyewe wamelipwa na serikali kufanya hiyo kazi! In short, haina tofauti na Dr, Mwaka anavyolipa mamilioni ya pesa kwenye tv stations kutangaza kwamba anaweza kumfanya mgumba azae hata kama huenda asiwe na huo uwezo! Matangazo ya Dr. Mwaka pale Star Tv huwezi kusema Star tv wametangaza xyz!esther mashiker
Esther Mashiker
JF-Expert Member
Today at 7:36 AM
New
Add bookmark
#130
1561012603165-png.1132259
JARIDA la Forbes Afrika limeutaja utawala wa Rais John Magufuli kuwa ni wenye mafanikio yaliyotukuka hususani katika kukuza uchumi wa nchi kupitia nyanja za mawasiliano, utalii, kilimo na viwanda.
Forbes ni Jarida la biashara linaloangazia sekta za fedha, viwanda, uwekezaji na masoko. Jarida la wiki hii kwa toleo la Julai ambalo linapatikana kwenye mitandao ya kijamii pia, limeangazia Tanzania na kumhoji Rais John Magufuli pamoja na mawaziri watatu akiwamo Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla, Waziri wa Nishati, Medard Kelemani na aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda pia yumo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga.
Jarida hilo lenye kurasa 40 limechambua kwa kina maendeleo ya utawala wa Rais Magufuli katika nyanja hizo nne muhimu tangu akingie madarakani mwaka 2015, huku mahojiano yake yakiwa katika mfumo wa maswali na majibu. Katika swali la kwanza ambalo jarida hilo lilitaka kufahamu ni kuhusiana na namna ambavyo Rais Magufuli ajulikanaye kwa jina la utani la tingatinga, alivyochukua hatua na anazotarajia kuchukua katika kuimarisha sekta ya mawasiliano nchini.
Rais Maguli alielezea kuwa kuendeleza bandari, reli pamoja na usari wa anga ni njia mojawapo kubwa za kukuza biashara na shughuli za kiuchumi ndani na nje ya nchi. Alibainisha kuwa miundombinu ya usari imechangia kukuza uchumi wa nchi kwa asilimia 4.4 mwaka 2012 hadi asilimia 16.6 mwaka 2017 ikiwa imechangia asilimia 6.0 kwenye pato la taifa mwaka 2017.
Alisema uwepo wa bandari ya Dar es Salaam umekuwa ni msaada mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi za jirani. Rais Magufuli alibainisha kuwa serikali yake baada ya kubainisha uhitaji wa usarishaji wa mizigo mkubwa kutokea Bandari ya Dar es Salaam kuelekea nchi jirani, imeanza ujenzi wa reli ya kisasa kuanzia Dar es Salaam hadi Morogoro yenye urefu wa kilimotea 300 na ya kuanzia Morogoro hadi Makutupora ya urefu wa Kilomtea 422.
Pia uboreshwaji wa njia za kawaida za reli na kwa pamoja kuiwezesha bandari ya Dar es Salaam kuhudumia hadi tani milioni 28 za mizigo. Kuhusiana na mchango wa usari wa anga, alisema kuwa ujenzi wa Uwanja wa Kimaitaifa wa Julius Nyerere utakaohudumia watu hadi milioni sita na nusu kwa mwaka, utachangia kukuza utalii huku akibainisha kuwa serikali imenunua ndege za kisasa zinazochangia kuongeza pato la taifa.
Aidha, Dk Magufuli alihojiwa na kutakiwa kuelezea mkakati wa serikali yake katika kukabiliana na changamoto ya ajira kwa miaka 15 hasa ikizingatiwa kuwa kuna idadi kubwa ya vijana wanaoingia katika soko la ajira. Akijibu hoja hiyo alibainisha kuwa dira ya elimu ya Tanzania ni kuwa na wasomi wenye uwezo wa kushindana kwenye soko la ajira na kuendana na matakwa ya kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiutamaduni na maendeleo ya taknolojia katika ngazi za kitaifa na kimataifa.
Alisema,“katika kuhakikisha kila kijana wa kitanzania ananufaika na nchi, serikali imeamua kutoa elimu bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili wajiandae kutoa mchango mkubwa kwa nchi, kila mwezi serikali inatumia zaidi ya Sh bilioni 23 na tangu kuanza kwa bure hii udahili umeongezeka kwa asilimia 35.2 kwa shule za msingi wakati za sekondari ni asilimia 20.1”.
Rais Magufuli pia alibainisha kuwa serikali yake imeanzisha na kuendeleza miradi mbalimbali ya umeme mbadala ambayo inasaidia nia ya dhati ya Tanzania kuwa nchi ya viwanda, hatua ambayo alisema imeokoa Dola za Kimarekani bilioni 4 kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2015 na 2017 ilizokuwa ikizitumia kuagizia nishati ya umeme kutokea nje (fossil fuels).
Rais Magufuli pia aliulizwa anadhani ni kuwa huu ndio muda mwafaka kwa wawekezaji kuja kuwekeza hapa nchini, alifafanua kuwa Tanzania ni eneo muhimu na la msingi zaidi kwa wawekezaji kuja kuwekeza hasa kutokana na uwepo wa rasilimali za uhakika za uwekezaji, mazingira mazuri ya kisiasa na kiuchumi pamoja na mifumo mizuri ya kufanyia biashara.
Alisema,“kama unavyoona nimekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa wawekezaji wanapata mazingira bora na salama ya ufanywaji wa shughuli zao nchini, ili watusaidia kukia uchumi wa kati kama dira yetu inavyotaka, wafanyakazi wa serikali wamehamasishwa kutoa huduma kiufanisi ili kuwavutia wawekezaji zaidi”.
Alisema uchumi wa nchi unakuwa kwa kasi ikilinganishwa na miaka iliyopita na tumejipanga kukabiliana na mfumuko wa bei na ili kuendelea na hali hii nzuri tumejipanga kuboresha mazingira bora zaidi ya biashara kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi pamoja na kuwawezesha wafanyabiashara wanaochipukia kufanya vema.
Alichosema Waziri Kalemani Waziri Kalemani akizungumzia serikali ilivyojipanga kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika alisema, “lengo la serikali ni kuwa na megawati 5,000 kukia mwaka 2020 na angalau kuwa na megawati 10,000 mwaka 2025. Alieleza kuwa kwa kuanzia wameanza na ujenzi wa mradi wa umeme wa megawati 2,115 wa Mto Ruji hayo yakifanikiwa nchi itapaa zaidi kiuchumi, kwa sasa katika gridi ya taifa umeme unaopatikana ni gridi 1,600 na uhitaji utakuwa megawati 2,000 ikapo 2015”.
Waziri Kalemani alibainisha kuwa mwishoni mwa mwaka huu serikali imejipanga kujenga kiwanda cha uzalishaji wa gesi asilia kwa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 35. Alichosema Waziri Kigwangalla Alisema kuwa serikali kupitia wizara yake imefungua milango kuwaingiza watalii wengi zaidi nchini hasa kwa kuendelea kutangaza vivutio nje ya nchi, kuanzishwa kwa Kampuni ya Ndege Tanzania, ATCL, kutawaleta nchini watalii wengi zaidi huku zikiwapo kampuni nyingine za kimataifa zinazoendelea kutoa huduma.
Alisema, serikali imejipanga kujenga miji mitatu ya kiutalii ambapo mmoja utajengwa katika Mbuga ya Saadani iliyopo Pangani na nyingine katika mbuga mbili za wanyama. Alisema kutakuwa na kumbi mbalimbali za mikutano zitakazoweza kuwahudumia wateja hadi 3,000 kwa pamoja, hoteli za kisasa na viwanja vya michezo.
Wadau wa biashara waliohojiwa kwenye jarida hilo ni pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Motisun ambaye ni Mwenyekiti wa Shirikiso la Wenye Viwanda Tanzania(CTI), Subhash Patel, Osa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya dawa ya Shelys Pharmaceuticals, Dk Sanjay Advani, Osa Mtendaji Mkuu wa Benki ya CBA, Gift Shoko, Asa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bima Tanzania(NIC), Sam Kamanga.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, Mkurugenzi wa Benki ya Stanbic, Kenrick Cockerill, Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), James Kilaba pia Osa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Zantel, Brian Karokola na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakonko. Jarida hilo pia limemuenzi aliyekuwa Mwenyekiti wa IPP ambaye pia alikuwa mfanyabiashara mkubwa hapa nchini marehemu Reginald Mengi aliyetangulia mbele ya haki Aprili, mwaka huu
Naona unahangaika na akina Ngurumo! Seriously asking, and no piece of joke! Huyo Ngutumo anaandikia gazeti gani?! Kama anaandikia gazeti lolote la chama cha siasa, au gazeti lolote linaloandika propaganda za kisiasa kama vile Uhuru, Tanzania Daima, Tanzanite, Jamvi la Habari, n.k; sorry to disappoint you kwamba hakuna gazeti hata moja kati ya hayo ambayo nimewahi japo kuyagusa over the past 10 years kwa sababu huwa sisomi magazeti yanayoandika porojo za kisiasa! Hata hilo Mwanahalisi wala sikumbuki nimewahi kuligusa lini mara ya mwisho!Lakini unayaamini ya Ansbert Ngurumo na Mwanahalisi lenye waandishi wa habari wenye elimu ya kuungaunga sababu wanakiandika unachopenda kukiona. Acheni hizo tabia mbofumbofu ninyi wabongo
Sasa umejibu nn? JF imevamiwa na vitoto vya facebook.Hawatarudi kwa uchawi wa mama yako au?
Mwanamageuzi eti? Anamgeuza nani?FORBES wanasema Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi, mleta maendeleo’, ndani ya story hiyo wanaeleza mafanikio kedekede ya serikali yake
View attachment 1131146
View attachment 1131373
Mkuu umeongea ukweli mtupu. Tazama hii idadi ya sponsors!!!!Na ushahidi huu hapa! Hiyo habari imechapishwa na Penresa! Angalia Logo kwenye hiyo cover! Na Penresa wenyewe kwenye website yao wanaeleza hivi:-Hiyo ni kama marketing firm tu, kisha wanaendelea:-Unaona sasa?! Kumbe ukiwa na issue, mnaongea biashara, jamaa wanai-structure for innovative campaigns, kisha, this's how they do:-Kumbe, wakishaandaa marketing and promotional campaign, depending na pesa yako, wanaangalia wakatangaze wapi na kwa mfumo upi! Kwa case hii, kwa vile pesa haikutosha kutangaza Forbes Original, tangazo likapelekwa Forbes Academia (Forbes Africa) na kutangazwa kwa mtindo wa habari, lakini in reality, ni sponsored article!!
KondaktaMwanamageuzi eti? Anamgeuza nani?
Duh! Nilikuwa sijaiona hiyo manake wakati nachangia hiyo kitu ilikuwa bado haijaletwa JF! E bhana eh, halafu wanatuambia eti Forbes wamkubali JPM wakati wamelipa maela yote ili watangaze kwamba JPM anakubalika!!!
Duh! Nilikuwa sijaiona hiyo manake wakati nachangia hiyo kitu ilikuwa bado haijaletwa JF! E bhana eh, halafu wanatuambia eti Forbes wamkubali JPM wakati wamelipa maela yote ili watangaze kwamba JPM anakubalika!!!
Magufuli anafail kwenye Human right sehemu zingine kajithubutu sanaaEbuu tuache Bana kesha tutia shimoni....mmebakiza kum cosmetics tuu...View attachment 1131180
We fala kumbe, mimi ni memba humu tangu ukiwa vidudu. Kakojoe ukalaleSasa umejibu nn? JF imevamiwa na vitoto vya facebook.
Kuleta mafarakano nchini ndio kuleta 'mageuzi'? Kukandamiza haki za wengine ndio 'mageuzi'?...Kutofuata taratibu, sheria na hata katiba ya nchi, ndio 'mageuzi'?
"Ujinga" ni kuuza haki zako kwa kuona 'vitu vinavyojengwa' na kudhani ndio maendeleo, hata kama vitu hivyo vinajengwa kwa kukanyaga haki za wengine.
Sikujua km najibishana na choko, kakojolewe ukalale!We fala kumbe, mimi ni memba humu tangu ukiwa vidudu. Kakojoe ukalale
"---kujenga reli, bwawa la umeme, meli ziwa Victoria, upanuzi bandari dar, reli ya zamani'" vyote hivi ni vitu vizuri kwa maendeleo ya nchi yetu, hata mimi navipenda sana. Na kuvifanya hivi hakuzuiwi na yeyote hata kama angeona kuwa sio vya maana.. hueleweki haki ipi imekandamizwa kujenga reli ,bwawa la umeme ,meli ziwa Victoria ,upanuzi bandali ya dar reli ya zamani nikasema hueleweki usishangae, acha husuda roho mbaya jamaa yuko vizuri huyu hapingwi kwa agenda uchwara.
Sio kuozea ghalani na watu hatujalipwaaaaaaaHao fobers wanajua lakin kuwa korosho zinaozea gharani
Kwa ujinga Tanzania tumetia fora...eti frabagastrated!Tanzania ni most frabagastrated country
Kwa ujinga Tanzania tumetia fora...eti FORBES!FORBES wanasema Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi, mleta maendeleo’, ndani ya story hiyo wanaeleza mafanikio kedekede ya serikali yake
Siku zote nabii hakubaliki nyumbani lakini najua thamani yake itakuja onekana tu.FORBES wanasema Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi, mleta maendeleo’, ndani ya story hiyo wanaeleza mafanikio kedekede ya serikali yake
View attachment 1131146
View attachment 1131373
Sio kuozea ghalani na watu hatujalipwaaaaaaa