FORBES: Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi’

Hello, mawazo yako ni tofauti sana, tena sana na yangu. Tanzania haina mwenye nyumba, ni nyumba yetu sote.
Panapotokea ufa, ni jukumu letu kurekebisha ufa huo, ikiwa ni pamoja na kumwondoa fundi anayesababisha ujenzi mbovu wa kuleta nyufa hizo.
Nadhani leo umeamka vibaya, kwa sababu maneno uliyoandika hapo juu na huo mfano wako havionyeshi kwamba unaelewa kitu chochote maishani mwako.
Nataka ujue kitu kimoja hakuna na haiwezekani fahari wawili kukaa zizi moja maana ya uchaguzi ni kumkaimisha /kukasmu madaraka kwa MTU moja ambae ni rais kufanya mambo badara yetu sote kama ulivyo eleza hivyo basi niyeye ataamua nini kiwe kipaumbele kwake na ninikisiwe hivyo basi kwa hoja ya kufukuza fundi ni ngumu atabakia huyohuyo kwani yeye anajua ufa unasebabishwa na nini.
 
Watu kama wewe ndio mnaotafutwa sana na CCM. Bila shaka wewe ni mwana CCM, kwa sababu mmejaa ujinga na ndivyo hivyo mnavyotaka kueneza ujinga wenu kwa kila raia wa nchi hii.

Mtu kuchaguliwa kuwa kiongozi hakumpi hati miliki ya nchi afanye kila apendalo. Ndio maana hamuoni maana ya kuwa na Katiba wala sheria zilizopo. Ndio maana hamuoni maana ya kuwa na mahakama na Bunge, kwa sababu mwisho wenu wa kufikiri ni huyo mtu mmoja tu unayesema amechaguliwa na kukabidhiwa kila kitu afanye apendavyo!

Hivi kweli wewe una kisomo chochote, maana mawazo yako ni ya ajabu sana. Pale kKijijini kwenu kuna kiongozi yeyote mliyemchagua? Angalia sana siku moja atafika nyumbani kwako na kutaka umwachie kila kitu kwa usiku huo aendeshe apandavyo yeye.siku, si mlimchagua na kumpa madaraka yote?

Naona hapa nabadilishana mawazo na mtu wa ajabu sana!
 
Namimi nimegundua ninaebishana nae kumbe ni mjinga na waajabu eti unakisomo gani?maswali ya MTU aliyeishiwa Sera kichwani kugundua kitu Mzee kunahitaji kipaji tu ulichopewa na mungu nimekusoma unachuki binafsi na ccm na Mimi siyo maana ccm kwa ujinga wako unafikili MTU yeyote anatoa mawazo yake akitofautiana na wewe basi huyo ni mwana ccm nisipoteze mda wangu kuongea na MTU ambae hajui yeye ni nani na anapaswa kufanya nini utapanuka moyo bure kwakujifanya unajua mambo wakati hujui sasa hiyo elimu yako inamanufaa gani kwangu maana hata siku moja sijara kwako acha ushamba.

Habari hii inamsaidia vipi bibi yangu kule kijijini ambaye anatumia maji yasiyo safi na salama
Mkuu wewe ukiwa msomi una kila sababu ya kuhakikisha bibi na babu yako wanafikiwa na matunda ya elimu yako.

Hicho kipato unachokipata peleka sehemu yake kwa bibi yako ili aweze kunywa maji safi na kutumia umeme wa kisasa.
 
Namimi nimegundua ninaebishana nae kumbe ni mjinga na waajabu eti unakisomo gani?maswali ya MTU aliyeishiwa Sera kichwani kugundua kitu Mzee kunahitaji kipaji tu ulichopewa na mungu nimekusoma unachuki binafsi na ccm na Mimi siyo maana ccm kwa ujinga wako unafikili MTU yeyote anatoa mawazo yake akitofautiana na wewe basi huyo ni mwana ccm nisipoteze mda wangu kuongea na MTU ambae hajui yeye ni nani na anapaswa kufanya nini utapanuka moyo bure kwakujifanya unajua mambo wakati hujui sasa hiyo elimu yako inamanufaa gani kwangu maana hata siku moja sijara kwako acha ushamba.
Eeenh, pole sana mkuu kama nimegusa penye maumivu!
 
Back
Top Bottom