Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,834
- 153,065
Ukimwona mtu mwerevu anakusifia unapofanya ujinga, ujue kuna kitu anakunyenga huyo.
Magufuli kawabana "mabeberu" kwa namna ambayo hawakutegemea halafu haipo kwenye vitabu, kawapiga loba kihunihuni.
The Economist wamejaribu kumsema vibaya wakaona hajali. Anazidi kuwapiga marungu kama hana akili nzuri.
Sasa hawa Forbes wamekuja kivingine wajaribu kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kumvika kilemba cha ukoka.
Siwezi kushangaa nikisikia Forbes ana represent interests fulani za wakubwa wanaotaka kumlegeza Magufuli wale nchi vizuri. Au akitinga Bongo kukutana na Magufuli.
Suspect namba moja ni mashirika ya uchimbaji dhahabu.
Hawa watu wako strategic kuliko wengi wanavyofikiri.
I used to subscribe to Forbes but I stopped because of this type of mind games.
One is better off with The Economist.