Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,158
- 9,184
On a serious note, wakati huku kunabomoka, upande mwingine unajijenga.Sasa kama data wamezitoa kwa motisun na asas maziwa unategemea nini zaidi
On a serious note, wakati huku kunabomoka, upande mwingine unajijenga.Sasa kama data wamezitoa kwa motisun na asas maziwa unategemea nini zaidi
Humtaki na nani? Hata ktk ukoo wako na familia yako wapo wanaomkubaliHatumtaki
From Lumumba streetFORBES wanasema Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi, mleta maendeleo’, ndani ya story hiyo wanaeleza mafanikio kedekede ya serikali yake
View attachment 1131146
View attachment 1131373
Habari hii inamsaidia vipi bibi yangu kule kijijini ambaye anatumia maji yasiyo safi na salama
hapo chacha😂Hahah unaanzaje kuwaamini wezi
Mimi na familia yangu,, we endelea kumtaka na ukoo wako...Humtaki na nani? Hata ktk ukoo wako na familia yako wapo wanaomkubali
Hiyo Forbes ya Chato inayodhaminiwa na Motisun!FORBES wanasema Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi, mleta maendeleo’, ndani ya story hiyo wanaeleza mafanikio kedekede ya serikali yake
View attachment 1131146
View attachment 1131373
Only good for CBAFORBES wanasema Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi, mleta maendeleo’, ndani ya story hiyo wanaeleza mafanikio kedekede ya serikali yake
View attachment 1131146
View attachment 1131373
FORBES wanasema Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi, mleta maendeleo’, ndani ya story hiyo wanaeleza mafanikio kedekede ya serikali yake
View attachment 1131146
View attachment 1131373
Fanya utafiti vizuri mkuu, familia yako wengi wao wanamtaka. Ili kujua hilo subiri uchaguzi 2020 hakuna mpinzani atakae ingia bungeni, labda ikitokea bahati sana atapita mmoja.Mimi na familia yangu,, we endelea kumtaka na ukoo wako...
Fanya utafiti vizuri mkuu, familia yako wengi wao wanamtaka. Ili kujua hilo subiri uchaguzi 2020 hakuna mpinzani atakae ingia bungeni, labda ikitokea bahati sana atapita mmoja.
WanajuaHao fobers wanajua lakin kuwa korosho zinaozea gharani
UwendaForbes ni gazeti la kibiashara na wafanya biashara. Wanajua fika kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi. Ili mambo yakae sawa, lazima mistakes zitakuwepo.
Wajanja ni wale.wanao endelea mbele hata baada ya matatizo kutokea. Imagine kama kila mtu angelikuwa anakata tamaa first round, maisha yangekuwaje leo
Ni yenyewehii itakua ni Forbes ya Lumumba😂😂
Wanaendelea kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, Bomu muda wowote litalipuka.
Time will tell.
KabisaaHii nini hapa?
MKama korosjo itakua hasara itakua bahati mbaya tu kwa serikali lakini si kwa wakulima ambao serikali itakua imewapigia kifua kwa dhuluma ya wafanya biashara waliyotaka kuwadhulumu kwa kula njama kuweka bei ndogo. Hata hivyo bado kuna uwezekano wa korosho hizo kuuzwa.
Inauma sanaKabisa MTU ambaye toka ameingia madarakani ametekeleza bajeti zake za maendeleo chini ya asilimia 35 kwa miaka mitatu mfululizo vichekesho .