FORBES: Rais Magufuli ni ‘Rais Mwanamageuzi’

Na ushahidi huu hapa! Hiyo habari imechapishwa na Penresa! Angalia Logo kwenye hiyo cover! Na Penresa wenyewe kwenye website yao wanaeleza hivi:-Hiyo ni kama marketing firm tu, kisha wanaendelea:-Unaona sasa?! Kumbe ukiwa na issue, mnaongea biashara, jamaa wanai-structure for innovative campaigns, kisha, this's how they do:-Kumbe, wakishaandaa marketing and promotional campaign, depending na pesa yako, wanaangalia wakatangaze wapi na kwa mfumo upi! Kwa case hii, kwa vile pesa haikutosha kutangaza Forbes Original, tangazo likapelekwa Forbes Academia (Forbes Africa) na kutangazwa kwa mtindo wa habari, lakini in reality, ni sponsored article!!
heee
IMG_20190409_100547.jpg
 
Its true, JF ni very addictive, nahisi hata mahitaji ya zile services yamepungua, siku hizi hata umuone mtu anatusha vipi, suruali hazibani, wife kama dada, ni mwendo wa mzungu wa nne, kisa JF!.
P

Watu weweeee, nimecheka Ile mbaya. Au hiyo service kwa wife imeshuka kutokana na raslimali umri nini?
 
Na ushahidi huu hapa! Hiyo habari imechapishwa na Penresa! Angalia Logo kwenye hiyo cover! Na Penresa wenyewe kwenye website yao wanaeleza hivi:-Hiyo ni kama marketing firm tu, kisha wanaendelea:-Unaona sasa?! Kumbe ukiwa na issue, mnaongea biashara, jamaa wanai-structure for innovative campaigns, kisha, this's how they do:-Kumbe, wakishaandaa marketing and promotional campaign, depending na pesa yako, wanaangalia wakatangaze wapi na kwa mfumo upi! Kwa case hii, kwa vile pesa haikutosha kutangaza Forbes Original, tangazo likapelekwa Forbes Academia (Forbes Africa) na kutangazwa kwa mtindo wa habari, lakini in reality, ni sponsored article!!
Mkuu nisaidie kitu hapa, kwani hii ndio ile forbes ambayo ilikuwa inamuandika sana Mo dewji kipind cha nyuma utajiri wake ? mana kuna point naitafuta hapa
 
wangapi wamepata stroke kutokana na habari hizi za kutisha??
Chadema msisome hii habari..
Itawa depress sana.. 😁 😁
 
Kama korosjo itakua hasara itakua bahati mbaya tu kwa serikali lakini si kwa wakulima ambao serikali itakua imewapigia kifua kwa dhuluma ya wafanya biashara waliyotaka kuwadhulumu kwa kula njama kuweka bei ndogo. Hata hivyo bado kuna uwezekano wa korosho hizo kuuzwa.
Kuuzwa wapi wakati mpaka sasa serikali yako haijamaliza kuwalipa wakulima pesa zao...

Acheni kusifia ujinga na hizo korosho hazitokaa ziuzwe
 
Habari hii inamsaidia vipi bibi yangu kule kijijini ambaye anatumia maji yasiyo safi na salama
Kashindwa kumsaidia baba yako mzazi kashindwa kumsaidia mjukuu wake aje magufuli amsaidie bibi yako unaakili we we?
 
Na ushahidi huu hapa! Hiyo habari imechapishwa na Penresa! Angalia Logo kwenye hiyo cover! Na Penresa wenyewe kwenye website yao wanaeleza hivi:-Hiyo ni kama marketing firm tu, kisha wanaendelea:-Unaona sasa?! Kumbe ukiwa na issue, mnaongea biashara, jamaa wanai-structure for innovative campaigns, kisha, this's how they do:-Kumbe, wakishaandaa marketing and promotional campaign, depending na pesa yako, wanaangalia wakatangaze wapi na kwa mfumo upi! Kwa case hii, kwa vile pesa haikutosha kutangaza Forbes Original, tangazo likapelekwa Forbes Academia (Forbes Africa) na kutangazwa kwa mtindo wa habari, lakini in reality, ni sponsored article!!

Nani asiyefanya marketing and advertisement in this world?
 
Duh, umewavua nguo mkuu.
 
Kama korosjo itakua hasara itakua bahati mbaya tu kwa serikali lakini si kwa wakulima ambao serikali itakua imewapigia kifua kwa dhuluma ya wafanya biashara waliyotaka kuwadhulumu kwa kula njama kuweka bei ndogo. Hata hivyo bado kuna uwezekano wa korosho hizo kuuzwa.
Wasiwsi wangu sasa ni mavuno ya mwaka huu sijui itakuwaje labda wafanyabiashara waweke bei nzuri mapema isije kuzua ungomvi
 
Kweli ni mwana mageuzi kwakuwa amegeuza katiba ya kichwani mwake kuwa ndiyo katiba ya nchi
 
Watajifanya kama hawaoni.
Na ushahidi huu hapa! Hiyo habari imechapishwa na Penresa! Angalia Logo kwenye hiyo cover! Na Penresa wenyewe kwenye website yao wanaeleza hivi:-Hiyo ni kama marketing firm tu, kisha wanaendelea:-Unaona sasa?! Kumbe ukiwa na issue, mnaongea biashara, jamaa wanai-structure for innovative campaigns, kisha, this's how they do:-Kumbe, wakishaandaa marketing and promotional campaign, depending na pesa yako, wanaangalia wakatangaze wapi na kwa mfumo upi! Kwa case hii, kwa vile pesa haikutosha kutangaza Forbes Original, tangazo likapelekwa Forbes Academia (Forbes Africa) na kutangazwa kwa mtindo wa habari, lakini in reality, ni sponsored article!!
 
Nani asiyefanya marketing and advertisement in this world?
Hakuna, lakini tatizo ni pale unapojaribu kuaminisha umma kwamba "napendwa" wakati umelipia tangazo itangazwe kwamba "unapendwa!" Tatizo ni pale unapojaribu kuutangazia umma kwamba unafanya mambo mazuri kweli kweli kumbe umelipia tangazo liuambie umma usiokufahamu vizuri kwamba unafanya mambo mazuri kweli kweli!!

Kwenye siasa ukifikia hatua hiyo, moja ya tafsiri zake ni kwamba, kile ambacho ulitarajia kionekane, basi hakionekani sawasawa au hakionekani kabisa, na kama kinaonekana sawasawa basi kuna kingine kinachoonekana sawasawa zaidi!!

Kama ni Investor, kinachoonekana sawasawa zaidi ni urasimu uliokithiri na mrundikano wa mikodi kila pahala! Kinachoonekana sawasawa zaidi, ni mtikisiko mkubwa wa sekta binafsi huku kukiwa na tuhuma za serikali kufanya ndivyo sivyo kwa wawekezaji; iwe wazawa au wageni; na mengine sawa na hayo, ambayo endapo yasingekuwepo au yasingekuwa ndiyo yanayoonekana zaidi, basi hilo la kwenda Pernas huenda wala lisingekuwapo!
 
Keep the date...!

“As a country, our vision is clear. My administration is determined to make sure that Tanzania achieves its development aspiration of being a middle-income country by 2025 as stated in the National Development Vision. I insist to my government officials and the people that our Vision can be achieved with close collaboration of the public and private sector. As you have seen, I am pioneering the undertaking of major reforms to create more favorable investment environment to ensure that private sector drives our future growth.”
 
Back
Top Bottom