For those who fall in love with someone here

Excel unaitwa huku!!!!!!!!!!
Eiyer tafadhali...

huu ni udhalilishaji mkuu if its not a joke... iam not in such the way you are thinking,..

ina maana hayo yoote yaliyotajwa na mdau mimi ndio najifanya ninayo ama? ina maana mimi ni yahaya ama vipi?

mkuu tafadhali, wewe ni paroko, you must respect your position.. aisee nimekereka ujue... umenikera sana eiyer!!

Ila humu jf ni kiboko hakuna anaye kubali kuji shusha
Ukitaka wenye ma vx wako humu..
Ukitaka wenye choppa wako humu....
Ukitaka wanao miliki kampuni wako humu...
Ukitaka wanao miliki mashimo migodini wako humu...
Ebu ona kama huyu..
"faster nimefungua kampuni yangu
"namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.
"nimemaliza kujenga nyumba yangu ya ghorofa goba

Eiyer unaweza sema mimi nilishasema nina nini kati ya hivyo hapo juu??

please mkuu tell me that it was a joke.. otherwise tutakosana na tutaangaliana mbalimbali sana!

mkuu for sure umenichafua roho... i have never been like this in jf..
 
mkuu for sure umenichafua roho... i have been like this in jf..

shusha mahasira king Excel amekutania tu usije ukammeza huyu paroko tukakosa wa kutuombea lol
 
Last edited by a moderator:
Ila humu jf ni kiboko hakuna anaye kubali kuji shusha
Ukitaka wenye ma vx wako humu..
Ukitaka wenye choppa wako humu....
Ukitaka wanao miliki kampuni wako humu...
Ukitaka wanao miliki mashimo migodini wako humu...
Ebu ona kama huyu..
"faster nimefungua kampuni yangu
"namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.
"nimemaliza kujenga nyumba yangu ya ghorofa goba

Na tulokua hatuna hata baiskeli pia tupo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ubarikiwe sana baba,natumaini umesaidia weng walio tayari kusaidika,maana kunawengne hua hawasaidiki na ndo wa kwanza kutafuta wachawi wao kumbe wamejiroga wenyewe!
Thank u...binafsi umenisaidia....na nyie waigizaji humu ebu acheni mnawapa wenzenu wakat mgumu
 
Baba paroko kula like mia 800,,,
kwa atakae vutiwa na mm kazi anayo maana akili zangu zimekaa ki bange bangi mpka najishangaa mwenyewe.
 
Hahahahahahahaha hakianane wazazi walizaa!!! Lol
Me nimevutia na avatar yako tinna cute halafu wenye akili kama zako nawezana nao!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom