For those who fall in love with someone here

For those who fall in love with someone here

Kuna watu wachache wenye uwezo wa kutamka na kumaaniasha juu ya kitu kuwa cheusi au Cheupe,unapokuja MMU kuna mengi ya kuzingatia kama mdau Eiyer alivyotanabaisha awali.

Kwanza wadau wote wanahali ya kuonyesha yakuwa mahusiano ya kimapenzi wanayajua na wanauzoefu nayo kama vile wapo katika ndoa kama miaka 20 au 30 hivi.

Ukija katika ukweli wa mambo watu wengi wanauswahili katika mahusiano kitu ambacho kimefanya kuwepo kwa malalamiko ya kudumu.

Halafu kwa ushauri wa bure tu,mtu haoi degree,kama unataka kuoa kiwango fulani cha elimu itakuchukua muda kukipata ukitakacho.
 
Last edited by a moderator:
Eiyer tafadhali...

huu ni udhalilishaji mkuu if its not a joke... iam not in such the way you are thinking,..

ina maana hayo yoote yaliyotajwa na mdau mimi ndio najifanya ninayo ama? ina maana mimi ni yahaya ama vipi?

mkuu tafadhali, wewe ni paroko, you must respect your position.. aisee nimekereka ujue... umenikera sana eiyer!!

Ila humu jf ni kiboko hakuna anaye kubali kuji shusha
Ukitaka wenye ma vx wako humu..
Ukitaka wenye choppa wako humu....
Ukitaka wanao miliki kampuni wako humu...
Ukitaka wanao miliki mashimo migodini wako humu...
Ebu ona kama huyu..
"faster nimefungua kampuni yangu
"namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.
"nimemaliza kujenga nyumba yangu ya ghorofa goba

Eiyer unaweza sema mimi nilishasema nina nini kati ya hivyo hapo juu??

please mkuu tell me that it was a joke.. otherwise tutakosana na tutaangaliana mbalimbali sana!

mkuu for sure umenichafua roho... i have never been like this in jf..

Tulia mkuu, mi nadhan ni utani tu si kweli, juu ya hilo nimejifunza kuwa ww ni mtu ambae ni rahisi kuwa "irritated"!! Pole sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Eiyer unatupeperushia ndege na kuharibu ramani zetu bana
nilikuwa nshafika nae stage nzuriiii nahisi ataahirisha sasa!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahag ila haina shida haja tuharibia tutaendelea tu kama kawaida usitie shaka!

Naona majibu yako yamebadilika baada ya kusoma hii sredi
unanijibu mkato tu, baba paroko kishanifanyia dili yangu kuwa dirisha
 
Wanakuona km mshauri, mpaka waje wakushtukie utakuwa umesakata wengi.
 
Back
Top Bottom