alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
Nashukuru kwa kusikia
Kama unavutiwa na mimi fuata ushauri wangu na utakuwa salama mrembo!
Asante, nimeshaufata ushauri
Ila umesema ukweli watu tunajenga picha kichwani tofauti na muhusika alivyo
Nashukuru kwa kusikia
Kama unavutiwa na mimi fuata ushauri wangu na utakuwa salama mrembo!
Nilikushauri uibadili ukakana shauri yako
Lakini kuwa makini nasikiaga eti kuna mabazazi humu
Au si tuanze mimi na wewe.........?????lol!!!!!!!!!!!
Unapenda kindege cha kuja kukuanzishia thread hapa kuwa !tian ana uso sijui kama anapuliza moto au sijui miguu kama mshumaa???........lol!!!!!!!!!!!!!!!
mrushie mchele!!
Usafiri wangu miguu tu
Hutaki potelea hukohuko ...!
Nimejifunza na sitorudia tena...!!!!
Nasema sitokaa nirudie huu upuuzi tena....!!!!
Ni mtu mkuu ila huyo Valentina tayari yuko covered
Hahahahahaa sawa mkuu nimekupata tunayemuongelea hapa ni 'valentina'Mkuu unajua kuna tofauti kati ya Valentina na 'Valentina' ?