For those who fall in love with someone here

For those who fall in love with someone here

wacha wee!! Hongera!! Usisite kutupa mrejesho!!

Mrejesho ni ndoa na watoto chezea wewe!!
Watu wanapata stimu kwa picha za magazeti wanapiga na bao sembuse sisi tusichague humu kuna avatar za watoto warembo!!!
 
Hahaha, nasoma personality yako. Nangojea mvua ya maneno kutoka kwako lol.

ninekutumia hela kwenye mpesa ili ukanunue juisi na karanga uzipendazo mwenyewe. Sio bora zaidi? Count your blessings utagundua huna haha ya stress mdogo wangu. Umeshabarikiwa kuliko an average person. Kwanza kuwa na kaka mdogo ambae Ni paroko kwangu Ni baraka tosha hata nikilala njaa sitojali.

you love me, you just can't differentiate the two.
Huu ushauri unaonesha huyu ni mwanamke aliyekua kiakili na kimwili pia
Asante sana

I heti yuuuuu

Halafu tangu asubuhi naku DIPU ukaninunulie juisi mbona hupigi?
 
Hahaha, nasoma personality yako. Nangojea mvua ya maneno kutoka kwako lol.
And you know me
Utajuta nakuambia
ninekutumia hela kwenye mpesa ili ukanunue juisi na karanga uzipendazo mwenyewe.
Mbona najaribu kuitoa na haotoki?
Halafu buku mbili haitoshi bana hebu ongeza na jero
Sio bora zaidi?
Bora sanaaaaaaaa
Count your blessings utagundua huna haha ya stress mdogo wangu.
Hivi unajua ninavyokupenda?
Yaani hata usiku silali nakuota wewe
Nikinywa maji nakuona kwenye jagi ...lol!
Umeshabarikiwa kuliko an average person.
Yaani wewe dada yangu mpenzi sana umebarikiwa kuliko binadamu wote wenye maumbile kama yako
Kwanza kuwa na kaka mdogo ambae Ni paroko kwangu Ni baraka tosha hata nikilala njaa sitojali.
Aisee dada taratibu maana unaweza kuniua na haya maupendo .........
you love me, you just can't differentiate the two.
Yaani nakupenda hadi nahisi nakuchukia ....lol!!!!!!!!
 
Ndio ukubwa mkuu...! Tunajifunza kupitia makosa yetu ama ya wenzetu!!!!!!

Mkuu unadhani ni mwewe tu?
Wapo wengi sana waiokutana na hili balaa!!!
 
Hilo jagi chafu na lina ukoko wa mafuta. Tatizo lako jagi la maji huwa unanywea supu ya makongoro na uji wa ulezi.

utapata kiriba tumbo!



QUOTE=Eiyer;8784172]



Hivi unajua ninavyokupenda?
Yaani hata usiku silali nakuota wewe
Nikinywa maji nakuona kwenye jagi ...lol!
lol!!!!!!!![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom