For the lazy ass dudes

Who dat? Kikungu?

But seriously, did your old man piss you off or something? He ain't keeping his side of the bargain?

NN, sometimes I wish I could get my hands on you.
 
Mazoezi ya husike pande zote hata kwenu wadada siku hizi nanyie mnamiliki vitambi!!!
 
Yani wamekua wavivu wangi wanasema wana stress za kazi kama vile wanafanya kazi peke yao,wazito wakikulalia hufurukuti na dadkika 10 kajitahidi,sasa wacha ashuke hapo unaweze sema atakufa sasaivi anavyohemaa humalizi hata dakika 5 anakoroma utasema anakata roho,wewe tena ndio utaishia kuhesabu boriti na kuangalia kama kuna ufa darini...
 
Karucee ruti yaleo Ubungo >>>>>>>>> mlimani city >>>>>>> kivulini halafu unageuza. That is myn. Waiting urs ¶¶¶¶
 
Last edited by a moderator:

hata me siwezi fabnya hivyo kuomba hela ya vitu vidogo hivyo ........ ila bado nasisitiza wanaume watafute pesa waache kulalama loh
 
rotflmfao

Kitambi sina,ila na six packs sina tatizo binti nikimzoea ufanisi kunako 6x6 unapungua muda unavyozidi kwenda, ila akitokea binti mpya ama mgeni namrarua hadi anaita mama, Goli 6 - 8 za kiufundi inakuaga ndio hbr!
All of them at initial stages they are like: '...no man has ever done this to me..'
 
asakuta same, Hoshea Wi-Fi, Lyamber, Dr. Mo, kobun, Mr Rocky kiwatengu,@nospass, kabanga, Eiyer, Highlander, my beloved gobore.. watu8, Mentor, buddy KIKUNGU, I know you work out hard, wape motivation wenzio. muje muunge mkono hoja.

Jirani ulichoandika ni ukweli kabisa, mazoezi yana umuhimu mkubwa kwa afya zetu wanaume kwa wanawake.

Mwanamke au mwanaume mwenye mwili wenye afya njema huwa na ushiriki mzuri mno kwenye tendo la ndoa/ngono.

Wengi wetu mazoezi pekee tuyafanyayo si ajabu yakawa ni zile purukushani za kugombea goli la daladala au kunyanyua glasi ya gambe.

Wake up guys!!!
 
I know what you mean.
 
Asante. But nataka ya Madukani njia ya Makabe, tushuke njia ya Shine Kontena mbili mpaka Igabiro.
Karucee ruti yaleo Ubungo >>>>>>>>> mlimani city >>>>>>> kivulini halafu unageuza. That is myn. Waiting urs ¶¶¶¶
 
Last edited by a moderator:
Japo sijakuelewa apo kwenye bold!!

Bao nane mkuu! Khaa! kulikoni?.... kupiga 8 za dakika mbili mbili au tatu tatu na kupiga bao mbili za lisaa na ushee bora kipi apo!!!! La tatu ndio usiseme.

Idadi sio kitu, bali inatakiwa KIWANGO. Lakini kiwango hakini kwa chipsi na uvivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…