For the lazy ass dudes

ndiyo lakini hivi wanume mmekuwaje kukimbia majukumu lakini sisis tunasadia tu hivi ni nini?
The thing is sio kukimbia majukumu, wasichokitaka ni kuchunwa in the name of love. Hivi kuna mwanaume asiependa kuspend kwa mwanamke wake according to his means?

Tatizo mi naona ni sisi wanawake kutaka vitu beyond our means so tunawachuna wanaume tusiokuwa na mapenzi nao.

Maybe am old fashioned but I will be damned if I ever ask a man for hela ya salon, vocha? NO.
 
Asante! Mtu ukiwa na mazoezi unajifurahia sana.

Mi napenda kukosolewa sana kwa sababu ndio kunanifanya mtu bora zaidi kuliko kusifiwa. Kukosolewa hakunaga unafiki ila kusifiwa unafiki ni mwingi sana. Honest compliments are very limited now days.

So ukiona anayekukosoa au kukurekebisha kitu; huyo ni mtu wa kumshukuru sana. LoL!

You know I do love you zingi zingi eeh!

Hongera kwa kuwafit. Ngoja hao wengine waje kunipa za uso. Wala sijali, lols. Nakomaa na mada yangu. Lols.
 

kama wote wangekuwa wana akili kama hii maisha yangekuwa mazuri sana.
 
Safiii. Hongera kwa uamuzi mzuri.
 
Safiii. Hongera kwa uamuzi mzuri.
 
Sawa, tumekubali ukweli ila sasa....na nie wanawake (lazy ass women) mnakuwa na vitambi kama vyetu inakuwaje? Mfanye mazoezi sio saloon na kulala kula tu. Mkiwa juu ati mmechoka.😝
Na nyie mfanye mazozi sio kwa ajili ya 6x6 bali kwa afya. Hujui hata 6x6 ni zoezi? 😆

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Daah!!mibia sinywi, nyama once in a while...ndambi hilooo kama roba la viazi!!
 
Yes. I know that you love me. You are a nice person Tized.
 
Usitake kuhamisha mada kutoka kwenye uhalisia,waweza kuanzisha thread yako hukoo..apa changia kwa hoja zenye mashiko.
 
hahahaha, eti umbo kama uterus!
una laana wewe, kha!
In addition. .. vijana wanadhani mazoezi ni kula proteins na steroids na kunyanyua vyuma na kuwa na umbo kama uterus... noo
 
bora umewakumbusha my dear Karucee maana kuna wengine humu ni wabishi kama nini!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…