For the lazy ass dudes

In addition. .. vijana wanadhani mazoezi ni kula proteins na steroids na kunyanyua vyuma na kuwa na umbo kama uterus... noo

Hao siwapendagi. Kama kuku wa kisasa?
 
Asante Sana. Hapo umenisema Mimi kabisa. Ntajirekebisha...

U r a man aisee hongera kaka kwa kupenda kujifunza
Wengi wetu tutaichukia hii thread kwa kupenda kua dominant o I control n that's selfish
Anyway hongera kaka
 
Mara nyingi kuanza ni rahisi but in less than a week mtu unajikuta ushaacha. Kuna kipindi ilibidi tuanzishe fit club, mtu akikosa bila prior information ya at least 3 days... elfu 5. Niliteseka but ilinisaidia sana
Huku home Makabe, wanaume wanaamshana 6 a.m weekends na wana trainer wao. Wapo wengi, kama 3 football teams. I wish tungekuwa na yetu wanawake so go tone some ass.
 
Huku home Makabe, wanaume wanaamshana 6 a.m weekends na wana trainer wao. Wapo wengi, kama 3 football teams. I wish tungekuwa na yetu wanawake so go tone some ass.

Just join them... wanawake mnaweza
 
Hahaaaa!!!!

Karucee
Nitake radhi aisee!!! Nackukia kitambi big time.. Am a very fit dude; 6.1 Feets, 69 Kgs ribed. What on earth!!!!! Ailbeit I concur with you. Wengi wetu tunasingizia muda hauruhusu.... Ivi kuna mtu anafikiri kuna siku atapata muda wa kutosha?

Kama unaamka say saa 12 asubuhi... kwa nini usirudishe lisaa limoja nyuma au kama watu wanakesha baa hadi saa sita usiku.. ksi unaweza piga tizi pia usiku.... tatizo linaweza kuwa sio uvivu bali ni kujitambua na kujua umuhimu wa kuwa fiti na madhara ya kutokufanya mazoezi..

Kwa Proffession yangu ni ngumu sana kupata muda lakini kwa wiki nikizidiwa ntafanya siku nne minimum but maximum siku 6. It pays BIG time. Kuumwa umwa kijinga jinga na kulia lia sijui nguvu za nini it becomes historical. Kwa mwanaume kula sahihi na mazoezi ni kitu kisichoepukika vinginevyo mtu utakua unajitafutia matatizo. (mwanaume unapanga foleni ya chips!!!! dem it!!!

 

Tized i see your avatar in you...
 
lara 1 waraka wako haujawatendea haki wanawake. .. nao wamezidi kupiga mizinga

wanawake tunaruhusiwa kufanya hivyo .... mwanaume kweli unaweza jiita mwanaume huku ukiwa huna hela loh hapana kwangu me nitakuona kinega
 

Hongera kwa kuwafit. Ngoja hao wengine waje kunipa za uso. Wala sijali, lols. Nakomaa na mada yangu. Lols.
 
umepiga pameuma aiseee
 

Dude I have steel balls.
 

Maneno yako yamenichomaaaaa mpakaa, kweli tupu umeongea lifestyle yetu imekuwa ya kipuuzi sana hadi mm mwenyewe najichukiakwasasa, nilikuwa na body zuri sana la mazoezi mpunga ulipoaanza kukaa vema, nikaoa, nikapata na mausafiri yakutosha, na jumba lakifahari, basi tumbo hiloooo,,, na ufanisi ukashuka asilimia 40 kitandani, asee leo ntapiga gym mpaka nizimie, atleast 3 days a week sio mbaya, asante mama kwatukumbusha na kutupenda, nimekupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…