afu eksi mpenzi leo hujanipa shkamoo yangu.
utaniudhi ujue:hat:
kwa mwaanume mwenye akili hili atachukua na kufanyia kazi........ alafu hawajui wakiwa na vitambi wakivua nguo wanatia kinyaaa..... mwanaume uwe smart nikimaanisha from your body language hadi uvaaji... mtu anvua nguo utafikiria mdudu kumbe mtu...
badilikeni mwanaume umeunganika kichwa huna shingo tumbo makalio mapaja manene lohhhh mmmh inatia kinyaaa
Hahaaaa. Halafu nimekumisi ujue?
Mmmmmmmmmh!
MI NAOMBA KUKAZIA HAPO HAPO UNADE WA KINA LAZY BILLY!!!!!!!!! Wanaume wengi hususani WASOMI mnanisikitisha sanaaaaaaaa siku hizi. Mwanaume over 25 UNA MASTERS UNAOMBA OMBA HELA NYUMBANI/DEMU/WASHKAJI!!!!!!! Tufiakwaaaaaaaaaaa! Na elimuyako yote JUUUUUUU! It is simply OUTRAGEOUS!
Sawa HUJABAHATIKA KUAJIRIWA, ila sio ndo iwe LIFESTYLE! Kila siku wakalia nimeapply BOT, EWURA, GAPCO, sasa kuapply HOW DOES IT HELP YOUR FINANCIAL SITUATION? Na unajijua kabisaa P.O.BOX ya kufayiwa mchongo pande hizo HUNAAAAAAAAA!!!!!!!! Mwanaume unaishi kwa MIZINGA hadi washkaji WANAKUKWEPA!!!!!!!!!!
Kuchanika kwa jamvi SIO MWISHO WA MANGEZI! Sawa umesoma hujabaatika kuajiriwa, SO WHAT? Utakaa unangojea ajira milele na umri ndo unakutupa mkono.? Hata DILI za kimjinimjini zinakushinda kupiga ukae mjin kwa jeuri? REALLY? Hata kusema nichukue jiko apa niuze nyama, supu, na viazi kidogo, Ahaaaaaaaaa! WE MTHOMI BANA! Wakati kila wiki usingekosa kilo 2 au 3. Hata kuingia kariakoo udalalie mali, ahaaaaaaaaaa! We mthomi bana! Hata kuwa dalali wa nyumba basi, aaaaaaah! Mthomi wewe tenaaaa? Chukua mazao shamba huko, akuuuuuuuuu! Hio kazi ya layman.
MWANAUME SIO OFISI, MWANAUME WALLET! Wake up dudes! Mimi nimechoka jamani! Ukimpata msomi ujifuze kujibajet ndani ya huo mshahara ake milele na milele! They never think outside the box! WASIOSOMA SAIVI NDO WANACONTROL UCHUMI WA JIJI! It is so disappointing! Ukikaa na msomi anawaza KUKOPA anunue gari, na illiterate wa karakoo anawaza LINI ATASHUSHA COMMERCAL BUILDING even if it is the last thing he does before dying!
LAZY BILLY muace kutumia kisingizio sjaajira ndo maana sijatoka kimaisha! UKIWA NA 500,000 UKASINDWA KUIZUNGUSHA UPATE 550,000 BASI HATA UKIWA NA 50M HUTOWEZA KUIZUNGUSHA IZAE!
kwa mwaanume mwenye akili hili atachukua na kufanyia kazi........ alafu hawajui wakiwa na vitambi wakivua nguo wanatia kinyaaa..... mwanaume uwe smart nikimaanisha from your body language hadi uvaaji... mtu anvua nguo utafikiria mdudu kumbe mtu...
badilikeni mwanaume umeunganika kichwa huna shingo tumbo makalio mapaja manene lohhhh mmmh inatia kinyaaa
Ni kwelu tutaifanyia kazi lakini si kwa wanaume tu hata mijanajike mengine nayo wakivua nguo papuchi huioni imefunikwa na magozi ya tumbo inabidi uondoe hiyi layer ya mafuta ndio mushughulike.
Hmmmm...watu kwa kuhangaika...... anahangaika nini sasaNope alichofanya ka create new account leo, akaiita Tanzanian baby ndio maana unaona followers wachache halafu ile nyingine kabadili jina
That is a very pointful view...cheersMmmmmmmmmh!