Habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.
Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.
But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!
Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.
Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.
Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.
Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.
Hope you had fun. Mnachezea wapi?
mkuu usicheke hii hili suala ni nyeti sana, tena sana.
Si huwa unasikia baadhi ya wanawake wakilalama kuwa bongo hakuna wanaume?
Na wanaume wa dar wanashauri eti ni bora kwenda kuoa "mkoani"?
We kaseme na mtu wako huko. Kila mwanamke anapenda mwanamume wake awe dizaini fulani. Hako ka cv kako peleka kwako. Sio lazima ukimbize upepo au unyanyue vyuma ndo uwe fiti. Njia ziko lukuki. Au unavizia watu jim hawaji huko ndo ukakasirika? Nimepita Gymkana nikakuta wanawake wanavizia watu pale. Baadhi ya gym mambo ni hayohayo. Beach nazo sio salama. Huo ushauri wako ni kama wa giza vile!!.
Jangwani hapa
ni kweli kila mwanamke ana sifa na dizaini ya mwanaume anayempenz pia hata kwa wanaume hvyohvyo but kuna standard kaka
Kwani kua na mkitambi ni sifa?
Ukiwa na mwili unaopemdeza unapungukiwa nn?
Kama aliyoandika huyu dada yamekutachi kwann usiyafanyie kazi?
Do u think sababu mkeo/mpenz wako hakwambii basi anapemdezewa na huo mkitambi au manyama uzembe uliyonayo?
Guys z t bad to learn?
Ths z childish ndugu yangu ukiwa fiti haikupunguzii chochote
Nb ni kwa faida yako ukitaka Fanya ukitaka acha
Ila Mhh ya nini....we pokea compliments hizo you deserve
nikiwa sina stress mwili unakuwa poa tu stable........ila nikiwa nazo aisee hasa stress za mapenzi
nahisi hivi nimepungua ila kidogoooooo
I don wanna laugh.