For the lazy ass dudes

Mwili wako ni wa kijana anejielewa...na anaezingatia mazoezi
unakuta kijana ana 25 lakini mwili wake kama nyumba ITS TIME na wao wabadilike
 
sasa akilaaa kiupande upande utaona na kitambi nacho kimelala, kimelegea, kinajaaa kitandani na kumfanya anakuwa mkubwaaaa, yaani huwezi kumkumbatia, utaishia kushika makalio khaaaaaaaa
Ha haaaaaaa we unawaza nini aseeee!!!!!!
Watake radhi plumpies!!!!

My sincere thanx to Sobibor Gym asee kumbe nilikuwa najenga attitude safi kabisa!!!!
Leo hii mineno hii na.mtu anayekisema humuoni waeza vunja keyboard!!!!
 
Amenichekesha sana.
 
My Dad looks so young!! Like my brother. He loves to walk.
 
Mwili wako ni wa kijana anejielewa...na anaezingatia mazoezi
unakuta kijana ana 25 lakini mwili wake kama nyumba ITS TIME na wao wabadilike

watabadilika kwa kupitia sisi na nyie, ila wanawake mna ushawishi mkubwa sana kwa wanaume wenu ukimwambia tu aina ya mwili wa mwanaume unaempenda unaweza kumbadilisha,hata kama unashindwa kumwambia direct unaweza kumwambia indirect.,ila tatizo kubwa ninaloliona ni watu kuendekeza bia unnecesarily,vihela vyenyewe vinahesabika na kupatakwa shida lakini kila siku mtu anataka azungushe round.!
 
hahahaha EMT
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…