For the lazy ass dudes

Ntashindwaje kunenepa wakati nakula vizuri
 

yaani kwa siku ukikimbia dk 15 its very enough plus push up kadhaa walau 15,na seat up(dont mind the spelling)na zile up and down 10 mtu unakuwa uko sawa kabisa,alafu tuache kula mivyakula vya mafuta sana tea wengine daily kuna baadhi ya watu breakfast bila mayai ya kukaanga haijakamilika plus beer jioni,kiuweli lazima unenepeane,hata uwe busy vipi huwezi kukosa dk 15 walau kwa siku ikishindikana basi walau kila week end,maeneo mengi kunakuwa na mabonanza so tujichanganye wadau.kwa sis wengine tunaopenda swimming hata tusipofanya mazoezi wiki nzia tukienda na kuswim walau two hours its very enough.
 

Ngoja nikupe scenario. 6 a.m he leaves for work. Doesnt come home for lunch, but still ana option ya kula healthy, he doesnt. Gulps chips and chicken. Jioni anajisogeza pub in the name of 'dawa ya foleni' saa tano usiku heads home. And this is the norm. Who has the heart to stomach this ---- every single day?
 

Sister, umeongea point sana. Wengi sasa hivi wanapaki tu dude zao mana hawawezi kitu. Uzembe tu na unene unapunguza siku za kuishi. Wanaume wengi siku hizi hata hawatamaniki tena. Sijui kama kuna dada anaweza kumtamani mwanaume mnene
 

A thousand likes for the motivation.
 

Ila uzi wako ni ukweli mtupu, sema tuu hili suala tunalichukulia kama masihara vile. Mazoezi hakuna. Miili imekuwa lege lege kaa konokono, huku watu wanashindia bar wakinywa bia na kula nyama choma na vitimoto.

Madhara yake kiafya ni makubwa mno. Magonjwa yasiyoambukiza yanaongezeka kwa kasi: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/532593-magonjwa-yasiyoambukiza-yashika-kasi-tanzania.html. Unasikia tuu jamaa aliumwa kidogo, alianguka ghafla na kufa.

Ukija kwenye 6x6 ndiyo kabisaaaa. Narudia tena katika jiji la Dar pekee, inaaminika kuwa ni asilimia 24.9 tuu ya wanaume wa Dar walio na mbegu za uzazi zenye rutuba, hivyo, wenye uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke na hivyo basi, mimba kutokea: Wanaume wa Kibongo, utasa na kuelekea mwaka 2014

Warioba na tume yake ya katiba wamejikita kwenye serikali tatu sijui hawajaliona hili? Napendekekeza kwenye katiba kuwa kila mwanaume mwenye umri wa miaka 18 kwenda juu ni lazima apige tizi mara tatu kwa wiki at least for half an hour. lol
 

Then play with his psychology mydia. Mbona gym ataitafuta mwenyewe!
 
sasa akilaaa kiupande upande utaona na kitambi nacho kimelala, kimelegea, kinajaaa kitandani na kumfanya anakuwa mkubwaaaa, yaani huwezi kumkumbatia, utaishia kushika makalio khaaaaaaaa
 

Pamoja sana mzazi kuanzia hyo avata ya dictator thing we Noma aisee
Besides swimming hata kwa wenzangu na mile Wa mpira Wa kikapu mazoez take yanajenga both physic ya MTU na pumzi pia so kama huna hela ya gym sio mbaya guys unatafuta zile karatas za Maelezo ya mazoez unachukua muhm ukifanya kila siku 15 to 30 min either kabla hujalala au ukiamka mbn unakua noma sana
Believe me mi ni mtu Wa mazoez but to tell the storey I had a gal miaka ya nyuma huko but the day I met his father I thot he was 35 to 40 aisee sikuamini hi was 55 by then still handsome,body structure ya maana yaani serious I wish ningemtaja hata jina kuna watu watakua wanamkujua so tusijiachie sana wanangu ni kitu muhm sana
 
hivi Karucee na haka ka mwili kama ka betina bado mazoezi yanahtajka?
 
Last edited by a moderator:
Amazing sasa hivi unakutana na mitoto midogo haijui chochote imenenepeana kama wanaenda kufanywamaonyesho pia wazazi tuwaangalie na watotot wetu kuwalisha mayai kila siku,kuku haimaanishi tunawapenda sana bali tuwape vyakula accordingly.
 
Mazoezi muhimu lakini ukishindwa play cunningulus!halafu uone mtu mnene anaitwa kiportable.ujanja kidogo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…