For the lazy ass dudes

For the lazy ass dudes

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,174
Reaction score
34,405
Habari zenu ndugu zanguni.

Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.

Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.


But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!

Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotoz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.

Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.

Ingieni gym.

Amkeni mapema rukeni kambaaaa.

A fit man is very appealing.

I can tell a good ---- from the way he walks.

Wajameni jipendenii.

Mi bia wekeni pembeni.

Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.
 
Mmmmmmmmmh!

MI NAOMBA KUKAZIA HAPO HAPO UNADE WA KINA LAZY BILLY!!!!!!!!! Wanaume wengi hususani WASOMI mnanisikitisha sanaaaaaaaa siku hizi. Mwanaume over 25 UNA MASTERS UNAOMBA OMBA HELA NYUMBANI/DEMU/WASHKAJI!!!!!!! Tufiakwaaaaaaaaaaa! Na elimuyako yote JUUUUUUU! It is simply OUTRAGEOUS!

Sawa HUJABAHATIKA KUAJIRIWA, ila sio ndo iwe LIFESTYLE! Kila siku wakalia nimeapply BOT, EWURA, GAPCO, sasa kuapply HOW DOES IT HELP YOUR FINANCIAL SITUATION? Na unajijua kabisaa P.O.BOX ya kufayiwa mchongo pande hizo HUNAAAAAAAAA!!!!!!!! Mwanaume unaishi kwa MIZINGA hadi washkaji WANAKUKWEPA!!!!!!!!!!

Kuchanika kwa jamvi SIO MWISHO WA MANGEZI! Sawa umesoma hujabaatika kuajiriwa, SO WHAT? Utakaa unangojea ajira milele na umri ndo unakutupa mkono.? Hata DILI za kimjinimjini zinakushinda kupiga ukae mjin kwa jeuri? REALLY? Hata kusema nichukue jiko apa niuze nyama, supu, na viazi kidogo, Ahaaaaaaaaa! WE MTHOMI BANA! Wakati kila wiki usingekosa kilo 2 au 3. Hata kuingia kariakoo udalalie mali, ahaaaaaaaaaa! We mthomi bana! Hata kuwa dalali wa nyumba basi, aaaaaaah! Mthomi wewe tenaaaa? Chukua mazao shamba huko, akuuuuuuuuu! Hio kazi ya layman.

MWANAUME SIO OFISI, MWANAUME WALLET! Wake up dudes! Mimi nimechoka jamani! Ukimpata msomi ujifuze kujibajet ndani ya huo mshahara ake milele na milele! They never think outside the box! WASIOSOMA SAIVI NDO WANACONTROL UCHUMI WA JIJI! It is so disappointing! Ukikaa na msomi anawaza KUKOPA anunue gari, na illiterate wa karakoo anawaza LINI ATASHUSHA COMMERCAL BUILDING even if it is the last thing he does before dying!

LAZY BILLY muace kutumia kisingizio sjaajira ndo maana sijatoka kimaisha! UKIWA NA 500,000 UKASINDWA KUIZUNGUSHA UPATE 550,000 BASI HATA UKIWA NA 50M HUTOWEZA KUIZUNGUSHA IZAE!
 
kwa mwaanume mwenye akili hili atachukua na kufanyia kazi........ alafu hawajui wakiwa na vitambi wakivua nguo wanatia kinyaaa..... mwanaume uwe smart nikimaanisha from your body language hadi uvaaji... mtu anvua nguo utafikiria mdudu kumbe mtu...

badilikeni mwanaume umeunganika kichwa huna shingo tumbo makalio mapaja manene lohhhh mmmh inatia kinyaaa
 
habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.

Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.


But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!

Wanaume wa bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.

Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.

Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.

Haya mumenisikia mie karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.

ungesubiri mida kidogo ndiyo ubwate, maana bado asubuhi au umemkosa kosa kuua bila kutegemea?
 
....sio wote lakini, bila ya mazoezi hata akili haifanyi kazi vema sio ki...t..o..mbo tuu, bali hata mikakati ya daily basis....suala la mazoezi nakuunga mikono na miguu yote mitatu.........of coz lazima dem ajishangilie...NIMWLABULIWA KWELI LEO,,, na akague kama machine ipo were it suposse to be....hongera kwa ushauri....
 
Nina kitambi cha kishikaji ila ***** kila demu ninayegonga lazima ajikande maji moto nakamua n.y.e.g.e zote mpaka papuchi inakuwa kavu.Wengi wanaishia kusema siamini kama ni wewe unavyoonekana na mambo yako tofauti kabisa.Siendi gym wala nini chumba changu ni gym tosha.Kitimoto siwezi acha.
 
Back
Top Bottom