for the first time chit chat

mgeni karibu, mimi naitwa watu8, mke wangu anaitwa measkron...nina mabinti warembo charminglady, WiseLady na sweetlady, wote wameolewa....
Mimi si mtu wa mashauzi sana, ukiniletea za kuleta nitakufundisha kwa nini nzi hatui juu ya kaa la moto.
aksante saana, bado nnausoma mchezo nisije kurupuka nikapata uzoefu wa vibuti
 
Last edited by a moderator:
Karibu mwayego! Kisha utafute mshenga akutaftie muke yako!

Btw hiyo sim ni mchina origino au?

mshenga ni baada ya kukubaliana, niujue kwanza utamu wa ngoma

huyu ni mchina original
 
khe! hata wewe pia karibu ila huku kwetu uwe una kifua maana unaweza ukajikuta umeshapandisha presha na ni marufuku kutoa siri huku waume za watu wananyumba ndogo zaidi ya 4 na wake za watu wana vidumu zaid ya viwili ukiona nyamaza
 
akuuu mimi sitasema ila nitataka nijue kinachowapigisha vikumbo wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…