nnahic network ya mtandao wangu inachangia<br />By Naibili<br />
kuna kitu hamjaniambia uwongo unaruhusiwa??
Hapana. Mbona hapa maandishi yametokea vizuri?
huku ni salama sana......kama ni halmashauri basi wilayani huko huwezi kusikia ubadhirifu wote husikika halmashauri za mijini ambako watu hukutolea mimachoAisee! Ngoja niendelee kujificha huku.
Hahaha, bora manake ungepigwa BAN ningelia sanaYan leo nimejikuta nimekuwa msomaji................... yale madongo ya Ben Saanane kwa Zitto ni hatari kwa afya ningepigwa BAN
Hahahaha! Dady uko juu !mgeni karibu, mimi naitwa watu8, mke wangu anaitwa measkron...nina mabinti warembo charminglady, WiseLady na sweetlady, wote wameolewa....
Mimi si mtu wa mashauzi sana, ukiniletea za kuleta nitakufundisha kwa nini nzi hatui juu ya kaa la moto.
Hahahaha! Dady uko juu !
Hahahahahaha! Nafwa mie mbavu zangu lol. Umepinda wewe khaa. Kwahiyo ukiwa na mchina ni marufuku kuquote? Hahaha. Nimecheka sana.
hapa ni kutongozana kwa kwenda mbele,karibu.Heshima kwenu wana chit chat,
Tangu nimejiunga na Jf, Jan 2011, leo ni mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa hili, inawezekana nikawa nmeshaingia, itakuwa kwa mlango wa nyuma (latest), lakini kwenda moja kwa moja chi chat hapana, sababu zaweza kuwa sifahamu utamu wa chit chat, nihabarisheni wadau wa chit chat, yawezekana nikawa mwenzenu humu.
aksante.
mgeni karibu, mimi naitwa watu8, mke wangu anaitwa measkron...nina mabinti warembo charminglady, WiseLady na sweetlady, wote wameolewa....
Mimi si mtu wa mashauzi sana, ukiniletea za kuleta nitakufundisha kwa nini nzi hatui juu ya kaa la moto.