For single ladies out there

For single ladies out there

CPU acha kunichekesha...............

Juan.........ndoa ni zaidi ya watoto na kutoana boredom
 
Kumbe unaoa kabila? what if hao wanawake woooote hawataki kabila lako? you will dye single. Uache hiyo tabia ya kubagua unajipalia makaa na utakuwa wa kukataliwa tu.

Hizo hela ni zako huna haja ya kutangaza kwamba una hela kuna wanaume wana hela kuliko hiyo yako. Nimegundua una "VILLAGE FLAVOUR NYINGI SANA" Bado hujakua kwa kuangalia tu flow yako. Sorry kama nimekuudhi. omba upako ukushukie ili uwe na lugha tamu.
 
kiukwelii. Kuna pm ya juan naiandaa, nitaiforwad kwako uiedit halaf iforwad kwa cpu aweke weke maua. Cpu atairudisha kwangu, halafu nitaituma.
Ikija kwangu ujue hairudi inakuwa imetoka hiyo lol
 
Nikuunganishe na dadangu nae anatafuta mume ila anawatoto wawili wenye baba tofauti na anamiaka 30 kabila ni mngoni, elimu yake ni form two.
hatuitaji maali
 
kiukwelii. Kuna pm ya juan naiandaa, nitaiforwad kwako uiedit halaf iforwad kwa cpu aweke weke maua. Cpu atairudisha kwangu, halafu nitaituma.

Angalia, mimi nikituma PM hapa, kama hujavaa nguo ujue ni miezi 9 tayari . . .
 
Kumbe unaoa kabila? what if hao wanawake woooote hawataki kabila lako? you will dye single. Uache hiyo tabia ya kubagua unajipalia makaa na utakuwa wa kukataliwa tu.

Hizo hela ni zako huna haja ya kutangaza kwamba una hela kuna wanaume wana hela kuliko hiyo yako. Nimegundua una "VILLAGE FLAVOUR NYINGI SANA" Bado hujakua kwa kuangalia tu flow yako. Sorry kama nimekuudhi. omba upako ukushukie ili uwe na lugha tamu.

haujaniudhi calorine,wala sioi kabila,mi sitaki kuoa wakutoka kwetu.wote hawawezi kunikataa
 
mi ni mhaya,sitaki kuoa wa kutoka kwetu,nyani ngabu
 
nina miaka 30,kabila mhaya,dini mkristo roman,hapo vp sweatlady
 
Back
Top Bottom