For single ladies out there

For single ladies out there

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
8,464
Reaction score
18,231
Wadada mpo,nimechoka kuishi pekeyangu,nataka kuwa na watoto sasa,mambo ya uchumi yapo safi,natafuta mdada alie tayari tuanzishe familia,awe wa kabila,dini yoyote,ila asiwe mhaya tu,umri not more than 24,nipo Arusha

Duh nimeboreka sana,i real need a woman in my life,

Alie tayari pls pm me
 
Hapo pekundu, unaweza kutoa sababu?
 
Wadada mpo,nimechoka kuishi pekeyangu,nataka kuwa na watoto sasa,mambo ya uchumi yapo safi,natafuta mdada alie tayari tuanzishe familia,awe wa kabila,dini yoyote,ila asiwe mhaya tu,umri not more than 24,nipo Arusha

Duh nimeboreka sana,i real need a woman in my life,

Alie tayari pls pm me

umeishakosa tayari!!
 
2tajie na wewe umri wako, kabila lako na dini yako.
Wadada mpo,nimechoka kuishi pekeyangu,nataka kuwa na watoto sasa,mambo ya uchumi yapo safi,natafuta mdada alie tayari tuanzishe familia,awe wa kabila,dini yoyote,ila asiwe mhaya tu,umri not more than 24,nipo Arusha

Duh nimeboreka sana,i real need a woman in my life,

Alie tayari pls pm me
 
Wadada mpo,nimechoka kuishi pekeyangu,nataka kuwa na watoto sasa,mambo ya uchumi yapo safi,natafuta mdada alie tayari tuanzishe familia,awe wa kabila,dini yoyote,ila asiwe mhaya tu,umri not more than 24,nipo Arusha

Duh nimeboreka sana,i real need a woman in my life,

Alie tayari pls pm me

Kweli nimeamini siku hizi mapenzi YANAUZWA
 
Wadada mpo,nimechoka kuishi pekeyangu,nataka kuwa na watoto sasa,mambo ya uchumi yapo safi,natafuta mdada alie tayari tuanzishe familia,awe wa kabila,dini yoyote,ila asiwe mhaya tu,umri not more than 24,nipo Arusha

Duh nimeboreka sana,i real need a woman in my life,

Alie tayari pls pm me

Duh, hayo masharti kama unataka kuoa kumbe unataka kiburudisho
 
Duh! Makubwa kumbe unatafuta mwanamke kwa vile umeboreka
 
Na hao wahaya mbona huwapati kaka hata usingesema. They are so picky kama huna taharifa.
 
Back
Top Bottom