For my few fellow men: Kujua kuendesha gari/pikipiki ni muhimu

unaweza kuwa dereva wangu ukaongeza kipato!
Nilipokuwa naishi kota za polisi Kurasini nikawa naona wanawake wa madereva wsnatoa penzi kwa mabosi wa waume zao!Nikaapa siji kuwa dereva hata wa Obama
 
Ushauri mzuri. Mimi mke na watoto wangu wote nimewapeleka driving school na wana leseni ili baadaye wasije pata shida
 
Sio wanaume tu...mimi kuna mtu aliwahi kuniambia tunakoelekea sasa hivi leseni ya udereva itakuwa ni moja ya document muhimu wakati wa kutuma maombi ya kazi
Na katika hali halisi document nyingine muhimu kuwa nayo ni Passport. Tatizo la Tanganyika eti mtu mpaka upate safari ya nje ndio unatafuta au upewe passport. Ni muhimu kuwa nayo kwenda nje ni wakati wowote. Serikali ihakikishe upatikanaji wa passport unarahisishwa kama vile kupata kadi za kujiunga na vyama kwa wa Tanganyika ili wazitumie muda wowote.
 
Wengine hatupendi kuendesha , tunapenda kuendeshwa....
Na suku wa kukuendesha asipokuwepo na wewe unadharura? Au mko safarini akapata tatizo la kiafya akawa hawezi kuendesha? Mimi nina ndugu yangu alikuwa anaendesha Fuso bahati mbaya akafa wakati gari likiwa katika mwendo. Bahati nzuri mbele alikaa na mtoto wake ambaye naye alikuwa anajua kuendesha gari. Alipogundua dereva ameinama na gari linakosa mwelekeo na kukosa nguvu akawahi kwenye usukani na pedal za clach na brek mpaka akalidhibiti gari na kumtoa marehemu.
 

May His Soul Rest In Peace!!
 
Aah!usumbufu wote huo wa nn wakati ungo najua kuikontrol vzr.jumlisha na ma speed yake sasa.htotamani kwenda kujifunza kudrive hz modern trans
 
Ni vizur vizur kijifunza...mie niliwah kujisikia vibaya..Nyumba za kupanga...dada kapaki gar nje ya geti akawa yupo kwa ndan anafua...mie naingia toka katika mishe akanirushia fungu...."kaka......nisaidie kuingiza gar ndan my dia" ilikuwa ni rav 4 short chasis, mie nikamjib sijui kuendesha....hata ham ya kumwona ilipotea kabisa....nikajifunzia kitaaa baadae nikaenda NIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…