For my few fellow men: Kujua kuendesha gari/pikipiki ni muhimu

Jamaa ameongea fact. For example umepata ttzo la ghafla usiku wa manane, like mkeo au mtto wako anaumwa inabidi umkimbize hospital, kwa bahati nzuri jiran yko anamiliki gari, unaenda kumgongea mrango unafunguliwa zen unaeleza shida yako, kwa bahati mbaya jiran yko kumbe amesafiri na ameacha ufunguo wa gari wa wanae, zen unapewa ufunguo udrive kroho safi unaaanza ktoa macho too.
LESSON, Sio lazma kjua kila jambo but kna umuhim mkubwa wa kujua kitu ambacho very common ktokea ktk mazingira ya kbinadam haswa maisha ya asaivi, magari na pik pik mostly wanamilik.
 
True True mkuu
 
Back
Top Bottom