For my few fellow men: Kujua kuendesha gari/pikipiki ni muhimu

Sasa kama sina gari wala pikipiki wala kipato changu hakikaribii kununua motokali nijifunze ili iweje?
 
gari sawa ila pikipiki hapana aise bado naipenda miguu yangu na uwahi wangu piah
 
Sio wanaume tu...mimi kuna mtu aliwahi kuniambia tunakoelekea sasa hivi leseni ya udereva itakuwa ni moja ya document muhimu wakati wa kutuma maombi ya kazi

kuna jamaa alipata kazi ya marketing ilimshindaa coz aliambiwa anatakiwa awe anajua gari, kapewa muda awe ameshajua!' mwisho wa siku akakimbia kazi ...........
 
What happened mkuu
Kuna mtu. Wangu alipata tatizo la ghafla yuko na gari .
Wote aliokua nao around hawawezi kumrush hospital.

Kucheki kwenye simu last dialed no,ni yangu,nikapigiwa niende.

Nikatafuta jamaa wa boda anipeleke,bahati nzuri anajua gari.
Kufika pale wote wananiangalia mimi.

Ndo bodaboda akadaka usukani.
I felt so bad
 
Miaka 14 tayari nilishajua kuendesha gari afu home hatukuwa hata na Uwezo wa kununua bajaji.
Niliweza kula dili kwa JIRANI kibopa kumchotea Maji na hilux yake na alikuwa akinitoa na bluu (10000) ambazo zilisaidia sukari pale home.
Ni kitu kizuri kujua hizi vyombo za moti
 
Minaona nisawa kuwa na ujuzi mana hkn ajuaye kesho unaweza likatokea tatzo alfu gar lipo na ufunguo upo mtu ukashindwa la kufanya sijui utasukuma
 
Sasa wewe toka una 5yrs unachukuliwa na gari kwenda shule na kurudishwa ukirudi nyumbani unafungiwa ndani utajuaje? Huko mikoani kwetu wadada wasiojua kuendesha baiskeli ni wa kuhesabu...itakuwa mwanaume? Impossible
Ukikulia pembezoni mwa ziwa Nyasa kujua baiskeli huwa ni ngumu
 
Back
Top Bottom