Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,333
- 3,896
acha ukaidi hata mi nnayo hata kuwasha gari sijuiwalizipataje?
acha ukaidi hata mi nnayo hata kuwasha gari sijuiwalizipataje?
Kyela ipo pembeni mwa Ziwa NyasaUkikulia pembezoni mwa ziwa Nyasa kujua baiskeli huwa ni ngumu
Nilipokuwa naishi kota za polisi Kurasini nikawa naona wanawake wa madereva wsnatoa penzi kwa mabosi wa waume zao!Nikaapa siji kuwa dereva hata wa Obamaunaweza kuwa dereva wangu ukaongeza kipato!
Mtoto wa kiume ujui kuendesha baiskeli makuzi yako yalikuwaje?Sijui kuendesha baiskeli na pikipiki. Na sioni umuhimu wa kujua kwasababu sitakuja kumiliki hivi vyombo.
kaka kweli nimeshindwa kabisaunanitisha Dada.
yameisha mawe yakeUnafahamu Mawe aliyonayo Mr Rocky?
yameisha mawe yake
Ushauri mzuri. Mimi mke na watoto wangu wote nimewapeleka driving school na wana leseni ili baadaye wasije pata shidaMen of this forum.
Ulimwengu huu unakuwa kwa kasi sana and most things now come easily, kuna mambo mengine ni magumu lakini mengine ni marahisi sana na ni budi kwa kila mwanaume kuyajua na kuweza kuyafanya.
Moja wapo ni hili la ujuzi wa kuweza kuendesha gari au pikipiki, hata kama huna, ni vizuri kujifunza na ukakaa na ujuzi wako, coz huwezi kupoteza kitu.
Nimeshangaa sana kuona a man mwenye zaidi ya miaka 35, hawezi kuendesha gari wala pikipiki na amekaa mjini miaka kibao. Hata kama huna, its better to find a way and learn. Sio unafikisha miaka 40 unapata ka gari kako unakapiga lebo ya Learner, au ndiyo unakuwa unababaika barabarani kisa ndiyo unajifunza.
Nashauri tu, kuwa na huu ujuzi wa driving ni kitu chema.
Ladies, advice your boys to acquire this knowledge.
Nawasilisha.
Na katika hali halisi document nyingine muhimu kuwa nayo ni Passport. Tatizo la Tanganyika eti mtu mpaka upate safari ya nje ndio unatafuta au upewe passport. Ni muhimu kuwa nayo kwenda nje ni wakati wowote. Serikali ihakikishe upatikanaji wa passport unarahisishwa kama vile kupata kadi za kujiunga na vyama kwa wa Tanganyika ili wazitumie muda wowote.Sio wanaume tu...mimi kuna mtu aliwahi kuniambia tunakoelekea sasa hivi leseni ya udereva itakuwa ni moja ya document muhimu wakati wa kutuma maombi ya kazi
Na suku wa kukuendesha asipokuwepo na wewe unadharura? Au mko safarini akapata tatizo la kiafya akawa hawezi kuendesha? Mimi nina ndugu yangu alikuwa anaendesha Fuso bahati mbaya akafa wakati gari likiwa katika mwendo. Bahati nzuri mbele alikaa na mtoto wake ambaye naye alikuwa anajua kuendesha gari. Alipogundua dereva ameinama na gari linakosa mwelekeo na kukosa nguvu akawahi kwenye usukani na pedal za clach na brek mpaka akalidhibiti gari na kumtoa marehemu.Wengine hatupendi kuendesha , tunapenda kuendeshwa....
Na suku wa kukuendesha asipokuwepo na wewe unadharura? Au mko safarini akapata tatizo la kiafya akawa hawezi kuendesha? Mimi nina ndugu yangu alikuwa anaendesha Fuso bahati mbaya akafa wakati gari likiwa katika mwendo. Bahati nzuri mbele alikaa na mtoto wake ambaye naye alikuwa anajua kuendesha gari. Alipogundua dereva ameinama na gari linakosa mwelekeo na kukosa nguvu akawahi kwenye usukani na pedal za clach na brek mpaka akalidhibiti gari na kumtoa marehemu.
Ameeni!May His Soul Rest In Peace!!
Ushauri mzuri. Mimi mke na watoto wangu wote nimewapeleka driving school na wana leseni ili baadaye wasije pata shida
Maisha mazuri ndio gari!!?Sorry, kila mtu ana mpango wa kuwa na maisha mazuri..