Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
hahaha wewe Nyamayao mimi nahit kurun ndo nzuri kwangu najua Yo Yo na Masa wanaijua vizuri.
ina mwisho wake, na mwisho wake ndio huko utakaoshangaa umeingia bila wewe mwenyewe kujijua....
hahaha wewe Nyamayao mimi nahit kurun ndo nzuri kwangu najua Yo Yo na Masa wanaijua vizuri.
Mkuu Sambah, apo sawa lakini kwa hilo la Mwanajamii kumtokea shem wake siliafiki sana kwa sababu, mara nyingi haya mambo ya watu wawili, akimwingilia shemeji yake hapa italeta tatizo lingine, ninavomfahamu Mwanajamii.....inawezekana tu shemeji akamletea 'tabia mbaya' so ikawa kesi juu ya kesi.
kama ni zaidi, matroni wapo, wao ndo wa kwanza kuwaendea, lakini pia kama umeona tatizo ni kuwa jamaa mamo yamemnyookea ukubwani akashindwa kuyahandle, si ajabu ukute anakuwa tu na wajamaa wala hada ka small house....
Mmh..nyamayao naona shorthand inaanza 'kukuharibu' chunga chunga usije ukashindw akuandika insha lol
nikirudi kwenye point ni kweli wivu uwepo lakini ule 'mzuri' sio ule wa kupitiliza, huo unaitwa gubu sasa....na ni mbaya kweli kweli!
.. Keizer.... unamfahamu mwanajamii duh naogopa itabidi niwe mwangalifu maana........ !!
Sina uhakika ulikuwa unamaanisha nini ila hilo la kunifanyia tabia mbaya sikuwa nimeliwaza. Atakuwa mtovu wa nidhamu kweli kweli akifikia huko.
Nakubaliana na we kabisa mimi siwezi kumface na kumpa vidonge vyake kwanza mwenyewe anajua namheshimu (na kumwogopa) sana maana ni mtu mzima sana mie mwenyewe nikikutana naye nawezajikuta natoa shkamoo kila baada ya nusu saa. Namwogopa sana.
Hapo pa small house sina la kusmea inawezekana maana naye yeye anapendaga kujifanya kijana na mabo ya kusikiliza yo yo yo kwa sautii ndani ya kibaloon chake !
cna mbavu mamii....kama Fidel alivyosema may b mzee kashika pesa za ukubwani mana huwaga zinasumbua sana anataka amalize kila kitu ambacho hakukifanya wakati ulee.....huyo atatulia tu wakati mifuko ikianza kutoboka....

wivu upo kote kote babake, wanawake/wanaume! huwezi sema una mapenzi ya kweli/dhati kwa mtu wako bila kuwepo neno "wivu"...
Yaani acha tu haya mambo mengine ndio yananifanya nisiione faida ya ndoa yaani watu wananza vizuri mpaka unawatamania ngoja wakishaanza kuboana ah!!
Nakwambia shost sister anaombea jamaa hata zikatike basi hizo pesa maana mh afu cha ajabu unadhani anazo nyingi? kibaloon chenyewe wamenunua kwa pesa ya sisy- aliacha kazi alikokuwa anafanyia kwanza akalipwa sijui wenyewe wanaita NSSF sijui PPF yake ndo kampa Mr. wanunue usafiri kurahisisha shughuli za utafutaji ila shem ndo kafanya matangazo ya Zain maana kila akipita wanajua flani kapita!!
hehehehe Nyamayao pesa za ukubwani hazinaga adabu kabisa unakuta mtu mzima anageuka fataki anataka vitoto vya shule form2 au 3 hivi mingine iwa inamega hata STD 5,6&7
sie tunao mega kwa kuhit na kurun wivu wa nini bana....wivu sina ila roho inauma tu
[/COLOR]
ndio wivu wenyewe huo....lol
kuongea na mwanae wa form two kamekuja likizo kana laptop na ki blackberry, nilichoka mtoto aliponitajia mtu alimnunulia hivyo vitu, hata wazazi wake ni wadogo sana kwa huyo mbaba.
.. Keizer.... unamfahamu mwanajamii duh naogopa itabidi niwe mwangalifu maana........ !!
Sina uhakika ulikuwa unamaanisha nini ila hilo la kunifanyia tabia mbaya sikuwa nimeliwaza. Atakuwa mtovu wa nidhamu kweli kweli akifikia huko.
Nakubaliana na we kabisa mimi siwezi kumface na kumpa vidonge vyake kwanza mwenyewe anajua namheshimu (na kumwogopa) sana maana ni mtu mzima sana mie mwenyewe nikikutana naye nawezajikuta natoa shkamoo kila baada ya nusu saa. Namwogopa sana.
Hapo pa small house sina la kusmea inawezekana maana naye yeye anapendaga kujifanya kijana na mabo ya kusikiliza yo yo yo kwa sautii ndani ya kibaloon chake !
[/COLOR]
ndio wivu wenyewe huo....lol
Adhande, muhabarishe huyo...
Ndo manake babangu...Wimbo huo Penny umesha anza kunishikia bango...
Ndo manake babangu...
Upi tena jamani...Haya mama'angu lakini unaufahamu wimbo huo?
mami noooo.....usiseme hivyo, kuboana kupo tu mami ni mambo ya kuyaweka sawa! lakini ndoa zina challenges kibao jamani sasa mwenzake kaona wafanye maarifa kumrahicshia shughuli yeye ndio kaifanyia ligi.... ndio mana mie pesa zangu ni zangu zake ni zetu.....lol
Adhande, muhabarishe huyo...