For how long should we....?

Mkuu Sambah, apo sawa lakini kwa hilo la Mwanajamii kumtokea shem wake siliafiki sana kwa sababu, mara nyingi haya mambo ya watu wawili, akimwingilia shemeji yake hapa italeta tatizo lingine, ninavomfahamu Mwanajamii.....inawezekana tu shemeji akamletea 'tabia mbaya' so ikawa kesi juu ya kesi.

kama ni zaidi, matroni wapo, wao ndo wa kwanza kuwaendea, lakini pia kama umeona tatizo ni kuwa jamaa mamo yamemnyookea ukubwani akashindwa kuyahandle, si ajabu ukute anakuwa tu na wajamaa wala hada ka small house....

.. Keizer.... unamfahamu mwanajamii duh naogopa itabidi niwe mwangalifu maana........ !!

Sina uhakika ulikuwa unamaanisha nini ila hilo la kunifanyia tabia mbaya sikuwa nimeliwaza. Atakuwa mtovu wa nidhamu kweli kweli akifikia huko.

Nakubaliana na we kabisa mimi siwezi kumface na kumpa vidonge vyake kwanza mwenyewe anajua namheshimu (na kumwogopa) sana maana ni mtu mzima sana mie mwenyewe nikikutana naye nawezajikuta natoa shkamoo kila baada ya nusu saa. Namwogopa sana.

Hapo pa small house sina la kusmea inawezekana maana naye yeye anapendaga kujifanya kijana na mabo ya kusikiliza yo yo yo kwa sautii ndani ya kibaloon chake !
 
Mmh..nyamayao naona shorthand inaanza 'kukuharibu' chunga chunga usije ukashindw akuandika insha lol

nikirudi kwenye point ni kweli wivu uwepo lakini ule 'mzuri' sio ule wa kupitiliza, huo unaitwa gubu sasa....na ni mbaya kweli kweli!

Ushakutana na gubu la mume?!! utajuuuuuuta kumfahamu maana ni kero zaidi ya kero! Wajua afadhali la mke kwa sababu kwa mwanamke huwa ni rahisi kumnyamazia na kudharau akishalianzisha kwani hakulazimishi kujibu au kumsikiliza, la mume sasa duh ukikaa kimya utasemwa kiburi ukijaribu kujitetea jeuri, usiposikiliza dharau. we acha tu la mume baya
 
.. Keizer.... unamfahamu mwanajamii duh naogopa itabidi niwe mwangalifu maana........ !!

Sina uhakika ulikuwa unamaanisha nini ila hilo la kunifanyia tabia mbaya sikuwa nimeliwaza. Atakuwa mtovu wa nidhamu kweli kweli akifikia huko.

Nakubaliana na we kabisa mimi siwezi kumface na kumpa vidonge vyake kwanza mwenyewe anajua namheshimu (na kumwogopa) sana maana ni mtu mzima sana mie mwenyewe nikikutana naye nawezajikuta natoa shkamoo kila baada ya nusu saa. Namwogopa sana.

Hapo pa small house sina la kusmea inawezekana maana naye yeye anapendaga kujifanya kijana na mabo ya kusikiliza yo yo yo kwa sautii ndani ya kibaloon chake !

cna mbavu mamii....kama Fidel alivyosema may b mzee kashika pesa za ukubwani mana huwaga zinasumbua sana anataka amalize kila kitu ambacho hakukifanya wakati ulee.....huyo atatulia tu wakati mifuko ikianza kutoboka....
 
Yaani acha tu haya mambo mengine ndio yananifanya nisiione faida ya ndoa yaani watu wananza vizuri mpaka unawatamania ngoja wakishaanza kuboana ah!!

Nakwambia shost sister anaombea jamaa hata zikatike basi hizo pesa maana mh afu cha ajabu unadhani anazo nyingi? kibaloon chenyewe wamenunua kwa pesa ya sisy- aliacha kazi alikokuwa anafanyia kwanza akalipwa sijui wenyewe wanaita NSSF sijui PPF yake ndo kampa Mr. wanunue usafiri kurahisisha shughuli za utafutaji ila shem ndo kafanya matangazo ya Zain maana kila akipita wanajua flani kapita!!
 
hehehehe Nyamayao pesa za ukubwani hazinaga adabu kabisa unakuta mtu mzima anageuka fataki anataka vitoto vya shule form2 au 3 hivi mingine iwa inamega hata STD 5,6&7
 
wivu upo kote kote babake, wanawake/wanaume! huwezi sema una mapenzi ya kweli/dhati kwa mtu wako bila kuwepo neno "wivu"...

sie tunao mega kwa kuhit na kurun wivu wa nini bana....wivu sina ila roho inauma tu
 
Yaani acha tu haya mambo mengine ndio yananifanya nisiione faida ya ndoa yaani watu wananza vizuri mpaka unawatamania ngoja wakishaanza kuboana ah!!

Nakwambia shost sister anaombea jamaa hata zikatike basi hizo pesa maana mh afu cha ajabu unadhani anazo nyingi? kibaloon chenyewe wamenunua kwa pesa ya sisy- aliacha kazi alikokuwa anafanyia kwanza akalipwa sijui wenyewe wanaita NSSF sijui PPF yake ndo kampa Mr. wanunue usafiri kurahisisha shughuli za utafutaji ila shem ndo kafanya matangazo ya Zain maana kila akipita wanajua flani kapita!!

mami noooo.....usiseme hivyo, kuboana kupo tu mami ni mambo ya kuyaweka sawa! lakini ndoa zina challenges kibao jamani sasa mwenzake kaona wafanye maarifa kumrahicshia shughuli yeye ndio kaifanyia ligi.... ndio mana mie pesa zangu ni zangu zake ni zetu.....lol
 
hehehehe Nyamayao pesa za ukubwani hazinaga adabu kabisa unakuta mtu mzima anageuka fataki anataka vitoto vya shule form2 au 3 hivi mingine iwa inamega hata STD 5,6&7

mtu kulipuka umri ukimtupa ni mbaya sana, na vitoto vyenyewe cku hz ndio usiseme, juzi sis wangu ameniita home kwake kuongea na mwanae wa form two kamekuja likizo kana laptop na ki blackberry, nilichoka mtoto aliponitajia mtu alimnunulia hivyo vitu, hata wazazi wake ni wadogo sana kwa huyo mbaba.
 
kuongea na mwanae wa form two kamekuja likizo kana laptop na ki blackberry, nilichoka mtoto aliponitajia mtu alimnunulia hivyo vitu, hata wazazi wake ni wadogo sana kwa huyo mbaba.

hehehe duh si mchezo mizee inapenda sana vitoto vidogo inasema eti havina ngoma mtume mimi nitaoa mzee sioi vibinti akha vinakuwa tayari used.
 
.. Keizer.... unamfahamu mwanajamii duh naogopa itabidi niwe mwangalifu maana........ !!

Sina uhakika ulikuwa unamaanisha nini ila hilo la kunifanyia tabia mbaya sikuwa nimeliwaza. Atakuwa mtovu wa nidhamu kweli kweli akifikia huko.

Nakubaliana na we kabisa mimi siwezi kumface na kumpa vidonge vyake kwanza mwenyewe anajua namheshimu (na kumwogopa) sana maana ni mtu mzima sana mie mwenyewe nikikutana naye nawezajikuta natoa shkamoo kila baada ya nusu saa. Namwogopa sana.

Hapo pa small house sina la kusmea inawezekana maana naye yeye anapendaga kujifanya kijana na mabo ya kusikiliza yo yo yo kwa sautii ndani ya kibaloon chake !

LOL usijali ninayemfahamu ni wahapa jamvini (socially constructed) ndo nikamwekea hizo standards, na hilo la tabia mbaya nilikuwa na maana anaeza kukutongoza, sasa nimesikia eti na hapa kuna watoto wanachunguliaga ndo nikajaribu kweka 'tafsida'...lakini naona umenipata:rolleyes:
 
mami noooo.....usiseme hivyo, kuboana kupo tu mami ni mambo ya kuyaweka sawa! lakini ndoa zina challenges kibao jamani sasa mwenzake kaona wafanye maarifa kumrahicshia shughuli yeye ndio kaifanyia ligi.... ndio mana mie pesa zangu ni zangu zake ni zetu.....lol

Nimecheka sana hapo pa red shost ah hutaki mchezo! Ila weye una bahati mwenzangu maana sisy yeye alichemka kwani mzee ikifika mwisho wa mwezi tu anasitisha huduma (kama ndo alikuwa anakupa nauli mtoto uende shule, ananunua sabuni e.t.c) anasizi kwanza mpaka ahakikishe ya dada imetumika kucover hizo basic things na zimekwisha ndo anaanza kuhudumia tena kwa kipimo ati!!

So hapo hakuna cha zangu ni zangu zake zetu!
 
Back
Top Bottom