Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
hahahah...poa nitakuja..siku hizi haniulizi tena mbona 'sijamletea zawadi'...so nahisi kuna kitu... (ila mwambie NN asijibu on ya behalf,, okeeey?)
Ni kweli kabisa....dont marry a person thinking kuwa utambadilisha.....that is a no no situation....tena a grown up person?!>...ni kwamba unajiingiza kwenye matatizo zaidi......nakubaliana na ww ndugu yangu!.......