For how long should we....?

Wote wanamatatizo kiujumla , kwanza kabla ya kuoana mnasomana na mnaridhiana kwamba niko tayari kwa haya .

Wewe umeongea mkuu.
Tatizo dada zetu siku hizi wanakimbilia sana kuolewa bila hata ya kufikiri mtu mmeonana kwa mwezi tu unakubali ofa ya kuolewa nae sasa hujui tabia zake angalia sasa baada ya ndo jamaa anarudi saa 7 au 8 huko usiku yupo kilaji anaingia chumbani analala na viatu hahahaha mjaribu kuwapa shule dada zetu jamani sio unaona mtu anakiescudo basi unajua ndo mme wa kweli huyu hehehe unaona sasa mnajuuta.
 
Sijui Mwanajamii kenda wapi? angekuja kutupa ufafanuzi ili tuendelee kumpa ushauri zaidi,
Ila kwa ambao wameshaoana ni kuangalia namna ya 'kumoderate' tu hakuna ujanja hapo, ila kama mtu umefanya homework yako viruri kabla, huwezi kujutia~:p

Kaiser nilitoka kidogo si unajua tena kazi na dawa!!:)


hawa ni mke na mume sasa ndo inatakiwa moderation sio? Mh sijui kama mimi nawezaolewa maana jinsi ninavyokereka upesi sidhani kama nitakuwa na huo muda wa kumoderate!! mijitu inabadilika kama kinyonga unaweza likaanza vizuri kisha likishafanikiwa kidogo tu linaona dunia yote yake!!
 
...ukiwa ni dereva wa mawazo yako, acha kujiudhi bure! kama ushamwambia jambo hilo hilo siku nenda rudi hajirekebishi ujue ndio kilema chake hicho. Jiliwaze kwa mazuri yake, hilo baya muachie mwenyewe mpaka siku 'yatapomkuta'.

Mbu kweli ukubwa dawa kaka yangu..... kuna wakati nilikuwa namwambia dada avumilie na asiwe anakesha kumsubiria mtu asiyejua anarudi muda gani akawa anashidwa kwa sababu huyo bwana akirudi usiku lazima amwamshe mkewe hata kama ni alfajiri sasa dada anakasirika. Mimi nafikiri huyu bwana angekuwa anarudi zake kimya kimya bila kusumbua wala isingekuwa tabu no?

Ila ushauri wako mzuri ingawa ni shida kwa mtu unayempenda yuko nje usiku mwingi hajasema kapita wapi wala yuko na nani, ukipiga simu haipokelewi, utalala kweli? Hii ndio inayompa shida sister
 
Wewe umeongea mkuu.
Tatizo dada zetu siku hizi wanakimbilia sana kuolewa bila hata ya kufikiri mtu mmeonana kwa mwezi tu unakubali ofa ya kuolewa nae sasa hujui tabia zake angalia sasa baada ya ndo jamaa anarudi saa 7 au 8 huko usiku yupo kilaji anaingia chumbani analala na viatu hahahaha mjaribu kuwapa shule dada zetu jamani sio unaona mtu anakiescudo basi unajua ndo mme wa kweli huyu hehehe unaona sasa mnajuuta.


matabia ya mtu akiwa nje ni tofauti na mnavyoingia ndani.....
 
matabia ya mtu akiwa nje ni tofauti na mnavyoingia ndani.....


Karibu mama sijakutia machoni siku mingi.
Tabia ya mtu ni rahisi sana kuisoma pindi unapo mpa mwanya ajiachie sasa tatizo lenu iwa mnakaba mpaka vivuri jamaa anashtukia mchezo anaficha makucha.
 
Mwambie akimchunguza sana kuku hatoweza kumla.

Na kweli mwenzangu ila kwani watu tunaoana ili kupeana kero? Kwa nini basi ufanye kile ambacho unajua fika kuwa kinamwumiza mwenzio? Wewe kaka Fidel wifi awe kila mara anarudia kitu ambacho umeshamwambia mara nyingi kuwa hukipendi utafanyaje?

Isijekuwa mnasuggest kuvumilia na kutizama mazuri yake kwa kuwa tu ni mwanamke ndiye mlalamikaji am sure haya angekuwa anafanyiwa mwanaume mwenzenu mngeshamshauri ampe talaka kitambo!
 
Wewe kaka Fidel wifi awe kila mara anarudia kitu ambacho umeshamwambia mara nyingi kuwa hukipendi utafanyaje?

Mi akifanya kosa anapewa discipline pale pale tatizo lenu nyie mna huruma sana mwambie wifi yako atishie kurudi kwao hehehe anaweza akarudi akakuta nyumba ndogo hahaha
 
ndoa hizi! mie hiyo ctuation niliipitia kwa sana, kuna wakati mtu unatakiwa upunguze/uache kulalama, mana kama ameamua kufanya hivyo ni atafanya tu mpaka atakapojichokea atatulia mwenyewe, hata mie niliwahi kuuliza/kuhoji sana kuhusu tabia hii kwa mr , nikaona hajali kwa wakati huo, ilifika wakati cmuulizi lolote amerudi/hajarudi sihoji, na mie nikitaka kutoka natoka bila kutaarifu lolote, alikuja aka2lia mwenyewe na ndipo 2lipoenda sawa na hajarudia tena!
 
Karibu mama sijakutia machoni siku mingi.
Tabia ya mtu ni rahisi sana kuisoma pindi unapo mpa mwanya ajiachie sasa tatizo lenu iwa mnakaba mpaka vivuri jamaa anashtukia mchezo anaficha makucha.


Fidel kukaba ni muhimu pale panapostaili ma love,...kusoma tabia ya mtu na kumjua vilivyo ni ngumu sana babake! nipo nipo Fidel.
 
Hahahaha ana uhakika hawezi kabwa na vibaka kwa hiyo yupo free kurudi any time, vp una ni vyema awe anaenda na wife kujirusha viwanja? kama Bills, Jolly n.k watoto watabaki na nani?
Lakini yawezekana shemeji anajipongeza kwa kununua baloon ameisotea hiyo asikwambie mtu.

Ah haya tena mengine.
Sister wangu si mtu wa makuu ni mpole pengine na umri nao unachangia kwani yeye na shemeji wamekulapo kachumvi kiasi flani (nahisi ndio mana anamshangaa mwenzie kufanya mambo ya utotoni!).

Tatizo si kwenda wote, issue ni kuaga na kusema yuko wapi hata kwa sms. Na pia kama mtu mzima si ni vema kujipangia muda muafaka wa kurudi nyumbani? kwani ameambiwa bia zinakwisha usiku huo na kesho si zipo au hao totos kama unavyosema si wapo! Ajifunze kuwa na kiasi. Mwenzio ashasema hapendi uwe unafanya hayo makorokoro wewe unayarudia rudia unafikiri si atahisi unamdharau?

Wewe kama Fidel ufanyiwe hivyo, utakubali?
 
Fidel kukaba ni muhimu pale panapostaili ma love,...kusoma tabia ya mtu na kumjua vilivyo ni ngumu sana babake! nipo nipo Fidel.

hahahaha ndo maana mi nawaambieni mi bado nipo nipo kwanza hizi presha bana siziwezi kabisa naweza ua mtu bure
 
Wote wanamatatizo kiujumla , kwanza kabla ya kuoana mnasomana na mnaridhiana kwamba niko tayari kwa haya . Kwa maana nyingine unakuwa unafahamu mapungufu yake vinginevyo umeuvaa mkenge. Msaada sasa kwako wewe utesekaye mwambie waziwazi kuwa sio sawa na mwisho wake ni off. Wewe unayekerwa na shem mtokee mweleze kuwa siyo mambo lakini uwe makini kwani walikubaliana kuishi kwa shida na raha . Na hizo ni sehemu ya shida zenyewe anazotakiwa kuvumilia si umenisoma vinginevyo angesema niko tayari kwa raha tuu jamaa angeahirisha wongo??? Utaniambia

sambah nimekupata vema ndugu yangu aksante kwa ushauri ingawa kwangu itakuwa ngumu kidogo kukabiliana na shem kumwambia nisijeanzisha ugomvi kwao kuwa dada analalamika kwangu ili aonekane mbaya maana shemeji mwenyewe kwa gubu!!. Nitajaribu tu kumshauri dada (kwa kuwa ndiye anayenilalamikia mara kwa mara)!

But thanx
 
ah

hehehehe akija kutulia unamvalisha nepi kazi kweli kweli...ila wivu ni mzuri au mbaya?
Ndo maana nawashaurigi watu, do not waist time because time is not waiting for you. Mwenzio akimwaga ugali wewe mwaga mchuzi mambo mengine mbele kwa mbele. Kwa nini mtu usijipe raha na mda wenyewe tuliopewa na Mwenyezi Mungu ni limited.
 
Wewe kama Fidel ufanyiwe hivyo, utakubali?

Mi mbona Mwana unaufahamu msimamo wangu tokea longtime mi navuluga mtu wallah na anafungasha vilago na anabeba mfuko wa rambo.
Tatizo la shemeji yako amepata pesa ukubwani si unajua "maskini akipata ****** hulia mbwata"
 
Back
Top Bottom