For how long should we....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

For how long should we....?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Jun 29, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Habari zenu.
  Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya mahusiano kati ya mke na mume ndani ya ndoa kuna vitu nimeshinmdwa kabisa kuvipatia majibu. Naombeni mnisaidie ndugu zangu.

  Eti for how long tunatakiwa kusamehe na kusahau kwa kosa ambalo ni la kulirudia? Namaanisha kwamba kama wewe unachukia mpenzi wako kufanya kitu flani na ukamwambia jinsi unavyoumia akifanya kitu hicho, kwa hali ya kawaida mimi nilikuwa ninafikiri kuwa ukishamwambia kikukeracho atajitahidi juu chini katikati pembeni ili asikifanye tena..... kumbe lah kuna ambao wao huwa ni kawaida

  Mf. mtu mwenye tabia ya kuchelewa kurudi majumbani bila kutoa taarifa au tabia yake ya kutoka kwenda saluni bila kukuaga wala kutoa taarifa!

  unatakiwa kusamehe kila anapolifanya kosa hilo au ?
  Na je anapolirudia huiwa anamaanisha nini?

  wewe mwenzi wako akiwa anakufanyia hayo utajisikiaje na utaamua kitu gani?

  Tafadhali nisaidieni.
   
 2. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa kelu hii tabia huwa inakeraga sana tena sana. Kwa upande wangu na mimi ntaanza kuiga tabia yake ili nione reaction yake. Asiposema kitu khs hilo ujue hiyo ni tabia ambayo anaikubali kwa hiyo na wewe peta mama acha kujipa presha kama utaafiki hiyo tabia kama vipi hupendi huo mwenendo don´t waist time kwenye kitu ambacho hakibadiliki, na akionyesha kutokufurahi mwambie na wewe ndivyo usivyofurahishwa na tabia yake sasa hapa mtu ni akili kumkwicha. Nadhani hapa jamii inaweza kunielewa vibaya lakini huo ndio ukweli halisi, maana ukiangalia sisi sote ni binadamu, wenye moyo mmoja mmoja kwa nini umtreat mwenzio kama vile anamiyoyo saba ya paka! kha, ooh paliz give me a break on this. Kama yanakusibu haya dada pole sana.
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Penny yaani nafikiri uko sawa kabisa. Dada yangu anaumia sana kwa haya mahusiano yaani shemeji anatabia ya kurudia rudia mambo ambayo dada hayapendi na ninahisi kuwa anafanya makusudi kwani anajua dada atakasirika atasema kisha yataisha then game inaanza tena kitu asichojua ni kuwa haya maudhi ya mara kwa mara tena over the same thing huwa yanakatisha tamaa na hupelekea sometimes mweni wako kuanza kuwa na tabia za ajabu ajabu. nafikiri ulichopropose kinafaa kabisa. Labda akiumizwa naye atajua ni kiasi gani anamwumiza mwenzie
   
 4. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Girls!...kuna wanaume wanaume wengine wanapenda kuwa chessed na mwanamke....na kama umemwambia mara moja na anarudia over and over then kaa ukijua hiyo ndiyo tabia yake na hatabadilika....kama mna date tuu then i think weka mguu ndani mguu nje.....angalia uasawa wako...maana hatabadilika na atakusumbua sana pale utakapo amua kuwa naye for better and for worse alafu utakuja kujilaumu baadaye.......sioni sababu ya kuwa na mtu ambaye anakuumiza kichwa na haina sababu ya kuanza kushindana naye....kama anakupenda then he will respect you and never do it again.....

  huu siyo wakati wa kubembeleza mtu,,,,chukua chako mapema.....
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kelly I like your motto, but this is happening ndani ya ndoa tayari kwa mtu ambaye mmeshaoana then anakufanyia hivi, mimi huwa ninamtafsiri vibaya sana shemeji yangu (am sorry to say this but anakera sometimes). Picha inayonijia kichwani ni kuwa yeye anamdharau sana dada kwa sababu angekuwa anamrespect kama mke hasingekuwa anarudia makosa ! Na mara nyingi dada huwa anamruhusu kuwa huru ila tu aseme amepitia wapi na atarudi muda gani. Tatizo shemeji haonekani kuwa makini kwani akipata chance tu basi hafanyi makosa kama ni kurudi ataweza hata kurudi asubuihi asipostuliwa (sijui hata hao anaokuwa naye wanamfikiriaje - kama si vidosho lakini)
   
 6. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  MJ..hiyo tabia yake imeanz akubadilika lini?...that is aproblem with me pnce wakishaona kuwa wamepewa uhuru wa kufanya kitu basi they tned to abuse ile freedom......na siwezi amini kama ni kweli huko anapokuwa hadi asubuhi anakuwa na washikaji lazima itakuwa kidosho....trust me!....inabidi dada ajaribu kufuatiliya nyenendo za shemeji ikiwezekana ww ndiyo umasaidie sasa kuangalia hizo nyenendo za shemeji kama ni kweli....ana kuwa muda wote na washikaji tuu au kuna wakati anamalizia haja zake kwa vidosho.....

  Mj darling nitafute kwa PM nikupe darasa kwa dada trust me shemeji hatatoka nje tena na atakuwa anarudi home mapema sana.......
   
 7. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mmmhh Kelly, msamehe NN, hatarudia tena!!
   
 8. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  LOL!....what do you mean about that?.......NN hajafanya kitu besides hata akitoka yeye anarudi home mapema....
   
 9. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Umeongea kweli dada, asante sana.
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  MwanajamiiOne, anachopropose Penny apo juu ni sawa, lakini nadhani pia pamoja na kumwambia mkuwa anaumia anavofanya hivyo, amweleze ni kwa nini, kwa kufanya hivyo, inampunguzia heshima yeye mwenyewe na familia kwa ujumla...kwamba kwa kuendela kuchepuka chepuka bila utaratibu, inajenga dhana kuwa ana kidosho mwingine...sio lazima dhana hiyo ijengeke kwa mkewe ila hata kwa ndugu na majirani na hiyo zio nzuri.

  Kingine labda kama alivouliza mmoja hapo juu, ameanza lini, ili kama ni kiytu kimeanza tu bila utaratibu basi walau tunaweza kuwa na another line of argument..kwa sasa na assume ni tabia yake (toka mwanzo?)
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280

  Kelly can you just put the 'darasa' here ili na wengine wafaidike...i.e kama halihusu namba za simu nk...
   
 12. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mengine ni ya kitchen party baba, sasa akiweka hapa ataaribu mambo! Wewe mfate huko huko chumbani.
   
 13. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ndiyo maana nakupenda mke mwenza/schoolmate!......tumetoka mbali eeh!...toka kwa mother Fi hadi JF hadi mke mwenza....

  Umehadimika sana!......
   
 14. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nipo mke mwenza...,
  Mwee yalionisibu kupelekea mpaka kupotea humu ndani ndo kama nilivyokueleza kule chumbani.
   
 15. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Nimekuelewa na nimekujibu!....ila sasa we need to talk maana its a long story na kwenye chumba si unajua siamini sana....
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280

  sasa Penny mbona unani'sakizia'..chumbani tena na mi mwanaume, si ndo atantukana kabisa, kama ni pati ya jikoni mimi walaaa...nitamtafuta Mwanajamii atanin'gata sikio tu...

  Au Kelly ar u willing?:rolleyes:
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  hahahaha! uwiii yeah kama una issue na demu wako wee njoo chumbani nitakupa darasa lako.....
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  hahahah...poa nitakuja..siku hizi haniulizi tena mbona 'sijamletea zawadi'...so nahisi kuna kitu...:( (ila mwambie NN asijibu on ya behalf,, okeeey?)
   
 19. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Women marry men thinking they will change.men marry women thinking they will not.so both are equally dissapointed.huo wana jf ni mtego huwezi jinasua.natanguliza pole zangu kwa yeyote yanayomkumba.
   
 20. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahahaha i will make sure NN hajibu usiwe na shaka....so kama ulikuwa na tendency ya kumpa zawadi every now and then ........ni kitu gani kilichokufanya sasa uache?..........inabidi uendelee hivyohivyo ila kama ni issue ya recesion nitakuelewa....
   
Loading...