Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
kila mtu na mapenzi yake myself napenda pes nacheza pes 2013 na kila nikijaribu fifa naona haviendi na hizi ni sababu zangu
1. Kwanza mimi ni anao anao.
Sipendi sana kupiga pasi napenda kukimbiza na kupiga chenga kama mshabiki wa man u lazima ni apriciate watu wanaoitwa mawinga. Ronaldo, messi, nani, ,moura, pastore, hazard ndo type zangu za wachezaji vitu hivi kwenye fifa sivipati game linataka mtu upige pasi tu.
2. Special effect
i like kudanganywa, i like vitu ambavyo ni imposible ndo mana nacheza games kupata vitu ambavyo real life sitavipata. Pes lina special effect nyingi kuliko fifa. Mfano kona mtu kubenjuka tiki taka badala ya kichwa ni kawaida kwa pes ila ni vitu adimu fifa hivi.
3.patch
kama alivosema leh pes lina patch nyingi tena ukiwa mtundu mtundu unaweza edit zile patch ukaeka vitu vyako unavyotaka. Mfano kueka mpira uwe sodo (chandimu) uwatoe wachezaji wa timu usiyoipenda ''vibusha'' (wa madrid watamueka lewandoski) na vitu kama hivyo.
4.master league na enter the legend zipo powa kwenye pes
master league una manage timu kama kocha uamuzi ni wako ucheze au uskip match. Aim ni kuchukua makombe, kupata hela then kutumia hela kusajili wachezaji wapya kuimarisha timu. Ukiwa unacheza una unlock vitu kama viatu ambavyo huaongeza ability za wachezaji.
Enter the legend unakua unacontrol mchezaji mmoja tu ili kumfanya na yeye aje kua legendary.
Kwa sababu hizo mimi hunitoi pes