FOR GAMers PES13 VS FIFA13

FOR GAMers PES13 VS FIFA13

Samahani, mi kwa mwaka huu nimecheza FIFA 13 sana ila mwaka Jana nilicheza PES 12, Sijabahatika kuipata PES 2013. Ila Ushawahi Kucheza Fifa 13 Mkuu? Kawa umewahi basi Jibu utakuwa nalo. Kwa kifupi hawa majamaa wameipita PES kwa nafasi kubwa sana.
1. Fifa ina team nyingi zaidi kuliko PES.
2. Fifa League nyingi mno.
3. Viwanja vyake kwa muonekano ni vizuri na vipo vingi tofauti na PES
4. Karibia ya Team zote Licensed kwa FIFA, kitu ambacho PES hana kabisa.
5. PES imekaa ki_Game zaidi, hata ukicheza mtu ni vema akagundua kwamba unacheza Game ila FIFA ipo kiuhalisia.
6. Fifa ina manjonjo sana kama kubetua mpira, kupiga danadana, mikasi, kanzu n.k kwenye PES sana sana utaona Mikasi na ile kufinya ambayo hata FIFA ipo.
7. Kubwa zaidi ni kwny COMMENTATOR, Ebana hapa FIFA amejihiririsha kuwa yeye hana Mpinzani, kwenye Fifa kuna jamaa anaitwa Martin Tyler huwa anachambua kwa viwango vya juu. Kumbuka FIFA unachagua TEAM ya Commentatorz.
8. CAREER ya kuwa MANAGER (FIFA) na MASTER LEAGUE (PES), wapendwa ukicheza kwenye FIFA unaweza usitoke kabisa ktk Game. Narudia tena, FIFA imekaa kiuhalisia zaidi.
Yaani kwa kweli sijaona mahali ambapo PES amempita FIFA.

KWA ANAEITAKA FIFA 13 BURE, ani_PM.
 
Samahani, mi kwa mwaka huu nimecheza FIFA 13 sana ila mwaka Jana nilicheza PES 12, Sijabahatika kuipata PES 2013. Ila Ushawahi Kucheza Fifa 13 Mkuu? Kawa umewahi basi Jibu utakuwa nalo. Kwa kifupi hawa majamaa wameipita PES kwa nafasi kubwa sana. 1. Fifa ina team nyingi zaidi kuliko PES. 2. Fifa League nyingi mno. 3. Viwanja vyake kwa muonekano ni vizuri na vipo vingi tofauti na PES 4. Karibia ya Team zote Licensed kwa FIFA, kitu ambacho PES hana kabisa. 5. PES imekaa ki_Game zaidi, hata ukicheza mtu ni vema akagundua kwamba unacheza Game ila FIFA ipo kiuhalisia. 6. Fifa ina manjonjo sana kama kubetua mpira, kupiga danadana, mikasi, kanzu n.k kwenye PES sana sana utaona Mikasi na ile kufinya ambayo hata FIFA ipo. 7. Kubwa zaidi ni kwny COMMENTATOR, Ebana hapa FIFA amejihiririsha kuwa yeye hana Mpinzani, kwenye Fifa kuna jamaa anaitwa Martin Tyler huwa anachambua kwa viwango vya juu. Kumbuka FIFA unachagua TEAM ya Commentatorz. 8. CAREER ya kuwa MANAGER (FIFA) na MASTER LEAGUE (PES), wapendwa ukicheza kwenye FIFA unaweza usitoke kabisa ktk Game. Narudia tena, FIFA imekaa kiuhalisia zaidi. Yaani kwa kweli sijaona mahali ambapo PES amempita FIFA. KWA ANAEITAKA FIFA 13 BURE, ani_PM.
mkuu sikubaliani na wewe kabisa. ndio commentator wa fifa wakali zaidi, but thats the only thing wamemzidi PES. mambo ya jersey na league nyingi kuna kitu tunaita patch. full mi jersey na majina kama FIFA. kwenye gameplay, hata PES unaweza ukafanya dribbling tena sasa hivi kwenye PES wameongeza kitu wanaita *personalised AI* yaani watu kama messi na CR7, neymar na gaucho wana dribble za kwao, chenga za kwao etc.. but at the end of the day, inaishia in preference. ni sawa na benz na bmw, kila mtu atapenda moja
 
Unataka Kusema PES ni nzuri kuliko FIFA sio?
 
no, nachosema ni kwmaba napendelea PES zaidi ya FIFA. especially on vs. human matches na BAL. opinion yangu tu
 
Nimekupata Kaka ila Nakushauri hamia FIFA ili uone ladha ya mpila.
 
nina zote mkuu, basi tu napendelea PES zaidi. najichukulia kama a professional gamer na therefore huwa najitahidi kucheza zote mbili ila kwangu PES tamu sana
 
Samahani, mi kwa mwaka huu nimecheza FIFA 13 sana ila mwaka Jana nilicheza PES 12, Sijabahatika kuipata PES 2013. Ila Ushawahi Kucheza Fifa 13 Mkuu? Kawa umewahi basi Jibu utakuwa nalo. Kwa kifupi hawa majamaa wameipita PES kwa nafasi kubwa sana.
1. Fifa ina team nyingi zaidi kuliko PES.
2. Fifa League nyingi mno.
3. Viwanja vyake kwa muonekano ni vizuri na vipo vingi tofauti na PES
4. Karibia ya Team zote Licensed kwa FIFA, kitu ambacho PES hana kabisa.
5. PES imekaa ki_Game zaidi, hata ukicheza mtu ni vema akagundua kwamba unacheza Game ila FIFA ipo kiuhalisia.
6. Fifa ina manjonjo sana kama kubetua mpira, kupiga danadana, mikasi, kanzu n.k kwenye PES sana sana utaona Mikasi na ile kufinya ambayo hata FIFA ipo.
7. Kubwa zaidi ni kwny COMMENTATOR, Ebana hapa FIFA amejihiririsha kuwa yeye hana Mpinzani, kwenye Fifa kuna jamaa anaitwa Martin Tyler huwa anachambua kwa viwango vya juu. Kumbuka FIFA unachagua TEAM ya Commentatorz.
8. CAREER ya kuwa MANAGER (FIFA) na MASTER LEAGUE (PES), wapendwa ukicheza kwenye FIFA unaweza usitoke kabisa ktk Game. Narudia tena, FIFA imekaa kiuhalisia zaidi.
Yaani kwa kweli sijaona mahali ambapo PES amempita FIFA.

KWA ANAEITAKA FIFA 13 BURE, ani_PM.
Hapo umeongea mkuu. Nimeku_PM hope umenipata

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nashukuruu wakuu mimi nina zote na pia huwa nacheza zote nipo katikati sijui ipi ni bora.kila moja ina uzuri wake ila kwenye pes mimi mzuri zaidi kama utahitaji kupata challenges naomba uni pm bado sijapata mpinzani kwa.hapa dar es.salaam
 
Naitaka FIFA 13 mkubwa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sijaweahi kucheza pes 13 lakini fifa na pes za nyuma zote nimecheza kwangu mimi fifa yupo juu now nia fia 13 tu ndio nacheza,kiukweli fifa ni ngumun zaidi ya pes maana ukiwe3ka level ya legendary hakyamungu huwezi kumfunga computer labda uchezeshe barca kwacardiff ila pes 12 na kushuka chini hata nikiweka world class bado nilikuwa na uwezo wa kushinda na kuchukua hyata kombe,sema fifa pia amezidiwa orignal celebration na pes hii celebration ya sasa hivi ya neymar akifunga anacheza mziki kwenye fifa hamna ila kwenye pes unaipata,so pes nae hajaachwa sana
 
Samahani, mi kwa mwaka huu nimecheza FIFA 13 sana ila mwaka Jana nilicheza PES 12, Sijabahatika kuipata PES 2013. Ila Ushawahi Kucheza Fifa 13 Mkuu? Kawa umewahi basi Jibu utakuwa nalo. Kwa kifupi hawa majamaa wameipita PES kwa nafasi kubwa sana.
1. Fifa ina team nyingi zaidi kuliko PES.
2. Fifa League nyingi mno.
3. Viwanja vyake kwa muonekano ni vizuri na vipo vingi tofauti na PES
4. Karibia ya Team zote Licensed kwa FIFA, kitu ambacho PES hana kabisa.
5. PES imekaa ki_Game zaidi, hata ukicheza mtu ni vema akagundua kwamba unacheza Game ila FIFA ipo kiuhalisia.
6. Fifa ina manjonjo sana kama kubetua mpira, kupiga danadana, mikasi, kanzu n.k kwenye PES sana sana utaona Mikasi na ile kufinya ambayo hata FIFA ipo.
7. Kubwa zaidi ni kwny COMMENTATOR, Ebana hapa FIFA amejihiririsha kuwa yeye hana Mpinzani, kwenye Fifa kuna jamaa anaitwa Martin Tyler huwa anachambua kwa viwango vya juu. Kumbuka FIFA unachagua TEAM ya Commentatorz.
8. CAREER ya kuwa MANAGER (FIFA) na MASTER LEAGUE (PES), wapendwa ukicheza kwenye FIFA unaweza usitoke kabisa ktk Game. Narudia tena, FIFA imekaa kiuhalisia zaidi.
Yaani kwa kweli sijaona mahali ambapo PES amempita FIFA.

KWA ANAEITAKA FIFA 13 BURE, ani_PM.

Sina cha kuongeza kwan umeongea kila kitu
 
nashukuruu wakuu mimi nina zote na pia huwa nacheza zote nipo katikati sijui ipi ni bora.kila moja ina uzuri wake ila kwenye pes mimi mzuri zaidi kama utahitaji kupata challenges naomba uni pm bado sijapata mpinzani kwa.hapa dar es.salaam
bahati yako umesema pes ila ungesema fifa ningekutafuta now now!!!!
 
Samahani, mi kwa mwaka huu nimecheza FIFA 13 sana ila mwaka Jana nilicheza PES 12, Sijabahatika kuipata PES 2013. Ila Ushawahi Kucheza Fifa 13 Mkuu? Kawa umewahi basi Jibu utakuwa nalo. Kwa kifupi hawa majamaa wameipita PES kwa nafasi kubwa sana.
1. Fifa ina team nyingi zaidi kuliko PES.
2. Fifa League nyingi mno.
3. Viwanja vyake kwa muonekano ni vizuri na vipo vingi tofauti na PES
4. Karibia ya Team zote Licensed kwa FIFA, kitu ambacho PES hana kabisa.
5. PES imekaa ki_Game zaidi, hata ukicheza mtu ni vema akagundua kwamba unacheza Game ila FIFA ipo kiuhalisia.
6. Fifa ina manjonjo sana kama kubetua mpira, kupiga danadana, mikasi, kanzu n.k kwenye PES sana sana utaona Mikasi na ile kufinya ambayo hata FIFA ipo.
7. Kubwa zaidi ni kwny COMMENTATOR, Ebana hapa FIFA amejihiririsha kuwa yeye hana Mpinzani, kwenye Fifa kuna jamaa anaitwa Martin Tyler huwa anachambua kwa viwango vya juu. Kumbuka FIFA unachagua TEAM ya Commentatorz.
8. CAREER ya kuwa MANAGER (FIFA) na MASTER LEAGUE (PES), wapendwa ukicheza kwenye FIFA unaweza usitoke kabisa ktk Game. Narudia tena, FIFA imekaa kiuhalisia zaidi.
Yaani kwa kweli sijaona mahali ambapo PES amempita FIFA.

KWA ANAEITAKA FIFA 13 BURE, ani_PM.
mkuu upo sawa
 
mi pia ninazo zote ila PES nilijaribu sana niikubali kama fifa kwa kuicheza mara kwa mara lakini wapi...yaani kila nikicheza nahisi kabisa kuna vitu\utamu flani hivi nakosa...sijui ni nini yaan not that satisfied kama nikicheza fifa...Fifa tamu bana tuache utani..nikajikuta nai unstall tu pes kwa pc yangu na kubakisha fifa.. kila jioni kabla sijalala lazima nivute pad yangu na kupiga mechi japo mbili tatu (Be a pro player) unakutana na katimu flani hivi ka kijinga unakadharau afu kana kunyuka nyingi ...basi nalala shwaari!!!:rockon::rockon:
 
Mi ninazo fifa 13 na pes 13 playstation 3 version,, toka utoto wangu enzi za ps1 nimecheza sana pes na ukweli kabisa the best soccer game ilikuwa pro evolution soccer 2, mwaka 2002 ps2 version ndo ilifanya mabadiliko makubwa kwenye video game..

But kiukweli kuanzia fifa 11 ilifanya mabadiliko makubwa sana kwenye gameplay and presentation na kuwa nzuri kuliko pes..

Kwa kumalizia kulinganisha fifa 13 na pes 13,, fifa ni nzuri sana kwa kucheza alone, career mode yake ni nzuri sana na unaenjoy kweli hasa ukiwa na ps3 or xbox 360 na HD tv,,, ila ukitaka kucheza with friends competition games 2 players Pes 2013 ndo the best as ina feelings sana kwenye game play kama unacheza mpira halisi..m

Mi natumia zote, nikiwa alone nacheza sana Fifa career mode, but nikitaka kucheza 2 player ya ushindani na friends ni mwendo wa Pes 2013 tu, maana ina feelings sana kwenye game play
 
Back
Top Bottom