TONGONI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 1,041
- 376
Time will tell.So, if not those two players, who was in the swap then?
Time will tell.So, if not those two players, who was in the swap then?
Labda offer ilikuwa pamoja na wachezaji wengine lakini siyo Mata na Luiz.
Huu ndio wakati muafaka wa kumuuza Rooney,ameisaidia sana ManU lakini kiwango chake kinapungua miaka inavyokwenda then yeye mwenyewe anaonekana anataka kuondoka,nilidhani labda kuja kwa Moyes labda angebadili msimamo.Naamini kama Fergie angeendelea kufundisha Manu Rooney angekuwa ameshauzwa,kuondoka kwake kutasaidia wachezaji wengine kama Kagawa na Chicharito kupata nafasi zaidi.Nisingependa auzwe kwa klabu yeyote ya England ingawa Mourinho anaonekana anakaribia kumnasaAccording to the BBC, Chelsea has offered £10m in cash, plus either Juan Mata or David Luiz, for Wayne Rooney but the offer was outright rejected on Tuesday night by Manchester United. Rooney has reiterated his desire to leave the club this summer.
He has been left angered by recent messages coming out of Old Trafford, most noticeably new manager David Moyes's suggestion Robin van Persie is his main striker.
The Scot said last week: "Overall, my thought on Wayne is that if for any reason we had an injury to Robin van Persie we are going to need him - I want as many options as possible."
BBC Sport - Wayne Rooney: Manchester United dismiss Chelsea bid
cc. cc. Mourinho, Peasant Wacha1 TONGONI, Belo, BAK
Arsenal's another target Higuain is negotiating deal with Napoli: Gonzalo Higuain transfer: Arsenal could miss out with Napoli in negotiations | The Sun |Sport|Football
May be!
Manchester United say [executive vice chairman] Ed Woodward's return from United's Australia tour to handle transfer negotiations has nothing to do with Wayne Rooney. It is to do with something else..
Wakati Mourinho amesema: "The official bid is about a certain amount of money, it doesn't involve players and doesn't involve players in the possibility of the negotiations continuing.
Hii inaweza kuwa na maana kuwa kuna uwezekano wa majadiliano kuendelea pale Woodward atakapotua Manchester.
No wonder TONGONI said time will tell. Time is stating to tell. Watu washaanza kufanya safari za ghafla.
Of coz hiyo safari ya fasta hivyo may be wanataka kucash in, wanaweza kupewa wachezaji wengine kama Mikel, Ba au Cahill lakini kwa hao wawili sidhani.
Overall performance ya Mata msimu uliopita ni nzuri zaidi ya Rooney in every department, goals, assists, pass accuracy, chances created, appearance et al
It is said that Mata is not Mourinho's type of player
am sure hatutajuta watu wa reddddddddddd!!
nilipata raha sana msimu huu.
Speaking about Rooney?
Akiuzwa nje ya England am sure hamtajuta, ila akitua Chelsea, he'll come back to bite you, trust me!
hivi kwani Owen ilikuwaje?? ama Beckham?? history itajirudia tu nadhani. once gone you are gone bana.