TONGONI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 1,041
- 376
Manchester United say [executive vice chairman] Ed Woodward's return from United's Australia tour to handle transfer negotiations has nothing to do with Wayne Rooney. It is to do with something else..
Wakati Mourinho amesema: "The official bid is about a certain amount of money, it doesn't involve players and doesn't involve players in the possibility of the negotiations continuing.
Hii inaweza kuwa na maana kuwa kuna uwezekano wa majadiliano kuendelea pale Woodward atakapotua Manchester.
No wonder TONGONI said time will tell. Time is stating to tell. Watu washaanza kufanya safari za ghafla.
Safari ya ED Woodward inahusishwa na issue ya Rooney upande mwengine Cesc......Wengine wanasema Man U wataridhia kumuuza Rooney Arsenal kwa sababu Hawaipi uzito Arsenal katika kinyang'anyiro cha ubingwa,lakini kwa maoni yangu Wenger hatokubali kumlipa Rooney pesa atakayoitaka na upande wa Cesc itategemea msimamo wa Arsenal kwani mauzo ya Cesc toka Arsenal kwenda Barcelona kuna clause inayoipa Arsenal first refusal endapo Barcelona wataamua kumuuza Cesc.
Manchester United executive vice-chairman Ed Woodward has left the club's pre-season tour of Australia to push through a move for Barcelona midfielder Cesc Fabregas.
United remain confident of securing the services of Fabregas despite Barca's insistence he wants to remain at the Nou Camp and Arsenal having a £25million first refusal on their former captain.
Senior figures within the Barclays Premier League champions' camp are of the opinion Fabregas wishes to join them, although it may take more than the £26m they bid for him earlier this week.
DailyMail