* ni ujinga kunyan'ganyiana daladala mlangoni, baadae mnajikuta nyote mmepata seat
* ni ujinga kubipu upigiwe, then ukipigiwa hupokei
* ni ujinga kumshuku mtu anataka kukuibia njiani, wakati mifuko yako hamna kitu
* ni ujinga kuvaa saa ya mkononi iliyosimama, ukiulizwa mda je ?
* ni ujinga kuvaa kimini/kitopu, halafu uko bizi kujifunika maeneo yaliyo wazi
heh