Follow Me If You Can!

niujinga kuropoka vitu usivyokuwa na uhakika navyo.
 
Ni ujinga kutafuta usichokijua.
 
Ni ujinga kuwinda usichoweza kukiua!
 
Ni ujinga mpaka leo mtu mwenye akili kushabikia ccm
 
Ni ujinga kupima ukimwi wakati dawa haijapatikana
 
Ni ujinga kujaribu kutoka ndan wakati unajua utamu nao upo humo humo ndan
 
Ni ujinga kukanyaga mavi ukachechemea wkt unajua hayana mwiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…