Foleni kubwa Kimara muda huu.

kihedemuswede

Senior Member
Nov 25, 2013
141
225
Kama unampango wa kwenda mbezi au kimara muda huu ni bora ukapita njia nyingine kama goba n.k.maana kuna foleni kubwa sana na haitembei.HIVI HIZI FOLENI MPAKA LINI???MAANA NI KERO. 1400771721355.jpg
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,049
2,000
nini chanzo cha foleni?
yaani kule mbele kabisa kitu gani kinazuia magari yasiende ili haya ya nyuma yafuate?
 

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,952
2,000
Kama unampango wa kwenda mbezi au kimara muda huu ni bora ukapita njia nyingine kama goba n.k.maana kuna foleni kubwa sana na haitembei.HIVI HIZI FOLENI MPAKA LINI???MAANA NI KERO. View attachment 159819

Loooh, hiyo gari uliyoipiga picha ndimo niko nimejaa tele..JF bwana raha tupu. Hapaa niko foleni nami nimekwama naenda kibaha, nafikiri nafika usiku wa manane. Ebu nimalize shughu;i zangu mapema hapa Dar nirudi kwetu Katavi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom