kihedemuswede
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 141
- 40
Solution ni kuhama tu hili jiji aisee
Nairobi imezidi sana kulinganisha na DarKwenye 5 afrika dasalama haimo- by pombe
Kama unampango wa kwenda mbezi au kimara muda huu ni bora ukapita njia nyingine kama goba n.k.maana kuna foleni kubwa sana na haitembei.HIVI HIZI FOLENI MPAKA LINI???MAANA NI KERO.View attachment 159819
Si mhame huko? Kwani lazima kufanya kazi Dar?
nami sielewi kwa nini hatuhami dar.pamoja na kero nyingi za hili jiji kama uchafu uliokithiri,foleni barabarani,n.k lakini watu hatuami KWANINI????
+ dengue.