Foleni Dar es Salaam

Foleni Dar es Salaam

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,716
Hii foleni ni balaa tangu saa 11.47 alfajiri niko Ubungo Oilcom lakini muda wote huo hadi sa hivi 12.40 ndo nimefika Ubungo plaza reporting time kazini ni saa moja na naelekea mjini lakini ndio kwanza niko hapa sijui nafika saa ngapi, huyu mwajiri atachoka kunielewa.

Mabasi yanayotoka stand kuu nayo yanaenda kupitia kule Shekilango inazidi kuongeza msururu wa foleni

Natamani hata kupaa kwa kweli
 
Pole sana ni shidah.. Foleni ya leo mtu unatoka mabibo hostel mpaka chuo 1.30hrs this is headache
 
Ni hatari kwakweli,mimi nimekaa hapa shekilangi foleni haisogei kabisaa

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
nimepita hapo naelekea mwanza na zuberi III .kwa hali niliyoiona ni heri ulale tu huko huko kazini weekend ndo urudi home.
_ni mtazamo tu

kwa hii hali ni sawa nyie mmeshatoka tayari?
hapa bado foleni ya Jangwani ngasoka
 
heri yenu maana sa hivi raia wanatembea kwa miguu kutoka huko ubungo kuelekea shekilango
naona watapata usafiri mbele kwa mbele

tupo mbezi hapa pia kuna bonge ya foleni mbele tu ya kile kituo cha hiace kuna lori limeanguka magari yanageuza.
halafu huyu dreva analalamika amechoka amefika dar saa tisa usiku jana.dreva
 
Hapo shekilango ndo panapoweka foleni...yaani ni nouma sasa ngoma yenyewe ni jioni utatamani upae...
 
hii foleni ni balaa tangu saa 11.47 alfajiri niko ubungo Oilcom lakini muda wote huo hadi sa hivi 12.40 ndo nimefika ubungo plaza reporting time kazin ni saa moja na naelekea mjini lakin ndio kwanza niko hapa sijui nafika saa ngapi
huyu mwajiri atachoka kunielewa

mabasi yanayotoka stand kuu nayo yanaenda kupitia kule shekilango inazidi kuongeza msululu wa folen


nataman hata kupaa kwa kweli
Uchaguzi ukija hamtaki mabadiliko sasa mnacholalamika ni nini?
Na bado!
Mtavuna mlichopanda na mtakachopanda 2015
 
bado tumeganda mbezi na nasikia foleni ni.hadi kibaha
_SIRUDI TENA DAR!!!!
 
hii foleni ni balaa tangu saa 11.47 alfajiri niko ubungo Oilcom lakini muda wote huo hadi sa hivi 12.40 ndo nimefika ubungo plaza reporting time kazin ni saa moja na naelekea mjini lakin ndio kwanza niko hapa sijui nafika saa ngapi
huyu mwajiri atachoka kunielewa

mabasi yanayotoka stand kuu nayo yanaenda kupitia kule shekilango inazidi kuongeza msululu wa folen


nataman hata kupaa kwa kweli

Tembea kwa miguu. Ukitembea kwa mwendo wakawaida Ubungo hadi Mjini city center 45minutes.
 
Pole bibie' unaishi pande zipi ili nifungue ofis karibu na unapoishi nikuepushie hizo karaha zote!! Alafu reporting time itakuwa saa 2:30...
 
Back
Top Bottom