FNP90 BUNDUKI hatari saana

Hivi hizo bunduki serikali inaruhusu kumiliki mtu binafsi?

Hawawezi kukubali Mkuu kwa Wananchi kuwa na silaha yenye uwezo sawa na wa Jeshi ,siku Wananchi wakikengeuka na kuamua yao unafikiri kipi kitatokea?..

Kwa kifupi Wananchi hawatakiwi kuwa na uwezo sawa na Serikali kwa namna yeyote ile ili iwe rahisi kutawaliwa.
 
Uzi ni bunduki ilikuwa ikitumiaka Mara kwa Mara na makondoo wa mianvuli..
Ile bunduki ni rahisi kuihandle lakn ni siraha inayoitaji umakini wa hali ya juu sana ..
Ukiikosea kidogo inaweza kuleta madhara makubwa sana
 
Kuna zile uzi zenye shepu kama fimbo ya golf ila zenywe fupi kidogo, utawaona nazo hawa makamanda wa makampuni ya ulinzi shirikishi. Risasi zake kubwakubwa na zinafuata harufu ya damu.

Na washawasha!
 
Kuna zile uzi zenye shepu kama fimbo ya golf ila zenywe fupi kidogo, utawaona nazo hawa makamanda wa makampuni ya ulinzi shirikishi. Risasi zake kubwakubwa na zinafuata harufu ya damu.

Na washawasha!
Ile inaitwa pump action
 
Uzi ni bunduki ilikuwa ikitumiaka Mara kwa Mara na makondoo wa mianvuli..
Ile bunduki ni rahisi kuihandle lakn ni siraha inayoitaji umakini wa hali ya juu sana ..
Ukiikosea kidogo inaweza kuleta madhara makubwa sana
Kwel kabisa..hii ndo ukiikoki ukaiangusha kwa bahati mbaya basi mtatafutana maana itajipiga yenyewe itazunguka hadi risasi zitakapo kwisha
 
Kama bunduki unayozungumzia ndiyo hiyo hapo pichani basi umedanganya maana hiyo ni Uzi gun ni bunduki kwa ajili ya mapigano ya masafa mafupi(mitaani).
Inabeba risasi 25 commonly
 
Vipi kuhusu Mac-10 na Mac-11. Huwa naona nazo zinatema moto si mchezo. Afu zinapendwa sana na drug dealers.
 
Vipi kuhusu Mac-10 na Mac-11. Huwa naona nazo zinatema moto si mchezo. Afu zinapendwa sana na drug dealers.
Nazo ni bunduki za masafa mafupi na pia za kawaida tu hazitishi sana japo zinaweza beba risasi nyingi kama sikosei app.30-32 bullets
 
Vipi kuhusu Mac-10 na Mac-11. Huwa naona nazo zinatema moto si mchezo. Afu zinapendwa sana na drug dealers.
Zina sifa ya kutoa risasi kwa kutawanya, hivyo kuzifanya ziwe na sifa kubwa ya kuzuia mashambulizi badala ya kulenga target!

Ukiona drug dealers wengi hupenda kujihami zaidi kinaposanuka, ndo maana huzitumia ili kutawanya ovyo risasi na kutompa adui mwanya mzuri wa kulenga shabaha
 
Back
Top Bottom