Flyover bila hesabu ni hatari, hapo ni TAZARA leo hii

Mbona halijaathirika,Maji ni kutokana na mabadiliko ya msimu tuu. Acheni kujidharau.Mzalendo kafanya mnamvunja moyo.Akili ya utumwa itatuisha lini?Tena pengine Hilo daraja ni la koko beach ila kwa ajili ya kujidhalilishaji.
 
Tumeshuhudia mvua iliyonyesha leo hii jijini dsm na kusababisha baadhi ya maeneo kufurika maji na kuhatarisha usalama wa watumiaji pia na miundo mbinu husika iliyojengwa kwa pesa za mvuja jasho
Hapo pichani ni Tazara flyover tazameni hali ilivyo kwa mvua moja tu ya leo!View attachment 1036989

In God we Trust
shida ni flyover au drainage system
 
Hivi hakunaga mhandisi mkazi, ambae wanapokuja wakandarasi wakigeni awaambie mazingira huwa yanakuwaje kipindi cha mvua ili wanapotutengenezea hizi barabara basi pasijekutokea mambo kama haya?
. Feasibility study, uchambuzi yakinifu, hufanywa na hutumia hela nyingi. Matokeo ndio kama hayo.
 
Wabongo muwe na shukrani. Tangu darisalama iwepo hii ndiyo flaiova ya kwanza. Huenda ilibuniwa wakati wa kiangazi. Subirini sasa aapishwe waziri wa mambo ya nje amwite balozi aliyefungua hilo flaiova. Atayarekebishaa maji yaende kunakotakiwa kwa kujengewa faliova ya maji
 
Solowenyooooooo

In God we Trust
 
Kwahiyo hata wakiboronga watu wakae kimya kisa ndiyo fulai wova ya kwanza Tanzania?

Back
Top Bottom