Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Whoever is behind myweather deal making this time ni mzuri mnoo 60% no matter ushinde upoteze haijawah tokea hii nasubir burudaan ..kama na sisi tungeweza fikia management za namna hii kina cheka wasinge ishia jela aisee
 
Jamani hivi dogo Matumla ataenda kufungua pambano kweli au kaingizwa mjini?
 
Huu mjadala hauna maana kama mmeshidwa kujibu muda na siku ya pamabano!
Na kwa hasira sirudi tena huu uzi

Kaa karibu na luninga kuanzia saa 10 alfajiri jumapili tar 3.
 
Vituo gani vya television vitarusha mtanange huu...ambao tutashuhudia mjivuni akipigwa kwa mara ya kwanza?

Tarehe 1 april TBC walisema watarusha live.
Ila usiwaamini sana.
 
[12:28, 30/04/2015] Cassim: Kaka hakuna habari ya analysis. Mimi long time ni TMT na haya mambo yanazungumzwa sasa hivi nshayapitia sanaaaaa over the years. Watu wataongea kama anavyosema Benard Hopkins lakini mwisho wa siku tunazungumzia boxing IQ/ring generalship na kwenye hilo hakuna kama Floyd. Ukisikiliza hata wale mabondia walipigana nao wote wawili wanakuambia ili Pacman ashinde anahitaji KO na hawaoni itatoka wapi.

[12:28, 30/04/2015] Cassim: Ndio maana sijihusishi kabisa na maneno yanayosemwa kila leo. Toka namuona Floyd first time anapigana na De La Hoya nilishaamua kujoin timu yake.

[12:28, 30/04/2015] Cassim: 47 have tried. 47 have failed.

[12:33, 30/04/2015] Cassim: Hopkins anakuambia trainers huwa wanaongea. Watu wanaangalia mikanda ya opponents wao lakini ukiingia kwenye ring kila kitu kinabadilika. Ni uwezo wa mpiganaji kuadapt na kuadjust kutokana na kinachomkumba ndio unafanya kazi hapo. Floyd is the master when it comes to that. Pacman juzi alikiri amemsoma vizuri Judah. Judah anapigana kwa southpaw stance kama Pacman. Alikutana na Mayweather akasumbua kidogo lakini akaishiwa kudundwa hadi akampiga Money ngumi ya korodani. Rodger na Mayweather Sr. wakaingia ulingoni. Ilikua mtiti si kitoto. Sasa Mayweather huwa haangalii mapambano ya anaopigana nao. Yeye anapiga tizi anaingia ulingoni. Halafu huyo Judah sasa yuko TMT na ni mmoja wa wale sparring partners wa Mayweather kipindi chote hiki cha maandalizi. Pacman anasema amelisoma pambano la Mayweather v Judah wakati Mayweather amekua akia-spar na huyo huyo Judah. Hiyo inakuambia nini?

[12:41, 30/04/2015] Cassim: Unamsoma mtu kupitia opponent ambaye huyo mtu ana-spar naye. Akili gani hiyo? Na Roach ambaye amekua trainer wa Pacman mabondia wake wote wamedundwa na Money. De la Hoya, Cotto, Mosley, Canello........

[12:42, 30/04/2015] Cassim: Ni sawa na De la Hoya wakati Canelo anataka kupigana na Money yeye akasema amempa dogo blueprint ya kumpiga Floyd. Floyd akasema ''Anashangaa jamaa anasema ana blueprint hiyo wakati yeye mwenyewe alidundwa.''

[12:43, 30/04/2015] Cassim: Na kipindi hiki Floyd wala hajachonga. Wale kina Pacman mineno kibao.

[12:48, 30/04/2015] Cassim: Tunazungumza bondia ambaye yuko na tools zote za Sweet Science. Amekamilika. Jab la maana, strong chin, tight defence from which he can switch to offense in a heartbeat, great footwork, lead right hand, nk. Anayepigana naye ni mtu ambaye yuko vizuri kwenye offense na footwork na ni mtu ambaye anastruggle akikutana na technical boxers. Hata kwenye ngumi kuna mafundi Mnemba. Teh! Tusichonge sana. J2 sio mbali.
 
TUPACified
Mayweather sometimes anabebwa, angalia fight yake vs Maidana mechi ya marudiano YouTube, alidundwa ila kapewa ushindi
 
Last edited by a moderator:

Hiyo tathmini nimei-share ni ya mshkaji wangu mmoja anamkubali sana jamaa, binafsi kwenye boxing nipo nipo tu.
 
Last edited by a moderator:
Iwe bahati au vp ninachoseama Paqc alipigwa. Na huu mchezo upo uwezekano mkubwa Wa Paqc kupigwa kwa ko mbaya tena maana Floyd Mayweather sio km Marquez.

hili pambano kama pac man atapigwa basi itakua ni kwa TKO lakini KWA hii tunayosema KO bado sijaiafiki alafu kama atashinda pac man atashinda kwa point maana pac man anangumi za haraka haraka sana na money yeye ni mzuri katika kujizuia sasa naoma mtu mweusi akipigwa kwa point hakutakua na KO labda TKO...........!
 
[12:28, 30/04/2015] Cassim: Kaka hakuna habari ya analysis. Mimi long time ni TMT na haya mambo yanazungumzwa sasa hivi nshayapitia sanaaaaa over the years. Watu wataongea kama anavyosema Benard Hopkins lakini mwisho wa siku tunazungumzia boxing IQ/ring generalship na kwenye hilo hakuna kama Floyd. Ukisikiliza hata wale mabondia walipigana nao wote wawili wanakuambia ili Pacman ashinde anahitaji KO na hawaoni itatoka wapi.

[12:28, 30/04/2015] Cassim: Ndio maana sijihusishi kabisa na maneno yanayosemwa kila leo. Toka namuona Floyd first time anapigana na De La Hoya nilishaamua kujoin timu yake.

[12:28, 30/04/2015] Cassim: 47 have tried. 47 have failed.

[12:33, 30/04/2015] Cassim: Hopkins anakuambia trainers huwa wanaongea. Watu wanaangalia mikanda ya opponents wao lakini ukiingia kwenye ring kila kitu kinabadilika. Ni uwezo wa mpiganaji kuadapt na kuadjust kutokana na kinachomkumba ndio unafanya kazi hapo. Floyd is the master when it comes to that. Pacman juzi alikiri amemsoma vizuri Judah. Judah anapigana kwa southpaw stance kama Pacman. Alikutana na Mayweather akasumbua kidogo lakini akaishiwa kudundwa hadi akampiga Money ngumi ya korodani. Rodger na Mayweather Sr. wakaingia ulingoni. Ilikua mtiti si kitoto. Sasa Mayweather huwa haangalii mapambano ya anaopigana nao. Yeye anapiga tizi anaingia ulingoni. Halafu huyo Judah sasa yuko TMT na ni mmoja wa wale sparring partners wa Mayweather kipindi chote hiki cha maandalizi. Pacman anasema amelisoma pambano la Mayweather v Judah wakati Mayweather amekua akia-spar na huyo huyo Judah. Hiyo inakuambia nini?

[12:41, 30/04/2015] Cassim: Unamsoma mtu kupitia opponent ambaye huyo mtu ana-spar naye. Akili gani hiyo? Na Roach ambaye amekua trainer wa Pacman mabondia wake wote wamedundwa na Money. De la Hoya, Cotto, Mosley, Canello........

[12:42, 30/04/2015] Cassim: Ni sawa na De la Hoya wakati Canelo anataka kupigana na Money yeye akasema amempa dogo blueprint ya kumpiga Floyd. Floyd akasema ''Anashangaa jamaa anasema ana blueprint hiyo wakati yeye mwenyewe alidundwa.''

[12:43, 30/04/2015] Cassim: Na kipindi hiki Floyd wala hajachonga. Wale kina Pacman mineno kibao.

[12:48, 30/04/2015] Cassim: Tunazungumza bondia ambaye yuko na tools zote za Sweet Science. Amekamilika. Jab la maana, strong chin, tight defence from which he can switch to offense in a heartbeat, great footwork, lead right hand, nk. Anayepigana naye ni mtu ambaye yuko vizuri kwenye offense na footwork na ni mtu ambaye anastruggle akikutana na technical boxers. Hata kwenye ngumi kuna mafundi Mnemba. Teh! Tusichonge sana. J2 sio mbali.

Mkuu umeeleza yote. Hii ndio hali halisi ya Floyd jinsi alivyo.

Ktk huu mchezo tutegemee Paqc kubadili mbinu zake. Akitaka acheze kwa kasi muda wote lkn hii itapelekea Paqc kupigwa kwa Ko kwasababu Floyd ni mzuri sn ktk kujilinda Na kutoa punch za kumaliza game.

Akiweze acheze kwa kasi ya kawaida lkn hii itampa nafasi Floyd kumiliki mchezo muda wote.

Unajua kwa wale wamecheza karate wanaweza kujua utofauti Wa uchezaji Wa dragon Na tiger. Ni sawa Na battle la Kuku Na bata.
 
hili pambano kama pac man atapigwa basi itakua ni kwa TKO lakini KWA hii tunayosema KO bado sijaiafiki alafu kama atashinda pac man atashinda kwa point maana pac man anangumi za haraka haraka sana na money yeye ni mzuri katika kujizuia sasa naoma mtu mweusi akipigwa kwa point hakutakua na KO labda TKO...........!

Ktk hizo ngumu za haraka haraka sio km zitampata Floyd kwasababu jamaa anajua kujilinda vzr sn na kushambulia. Sasa km Paqc atakuja Na hiyo kadi KO ipo kabisa. Lazima adundwe. Mi nafikiri ktk huu mchezo Paqc hatoweza kujiachia Na kurusha ngumi tu eti kwa kua ana kasi itamfanya alambe sakafu vibaya.
 
Mchezo ambao dunia nzima hasa mashabiki wa ndondi tunausubiria

Kimsingi pambano hili halina utabiri ila mshindi lazima apatikane

Rekodi zao ziko wazi kama sijakosea floyd amepigana mara 47 na kashinda yote,ameshinda 26 kwa KO
Hajawahi poteza wala kutoa sare

Paqc amepigana mapambano 64 lakini kapigwa matano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom