Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Uwezekano wa yeyote kumpiga mwenzake kwa KO haupo labda yatokee maajabu. Mayweather hajawahi kumpinga mtu kwa KO tangu 2011 alipomtwanga Victor Ortiz, tena baada ya Ortiz kuzubaa akimsubiri refa aendeleze pambano baada ya Ortiz kucheza faulo. Pacquiao naye hajawahi kupata KO toka alipomtwanga Rick Hatton mwaka 2009. Pambano litaenda mpaka raundi ya 12 na mshindi atapatikana kwa pointi.

Sababu nyingine ya kutokuwapo kwa KO ni kwamba penda usipende pambano hili litatawaliwa na politics na business kuliko ngumi. Yatatengenzwa mazingira ya hawa jamaa kurudiana ili watu wapige hela, sasa mtu akipigwa kwa KO credibility ya kutaka rematch haitakuwepo.
 
Hilo pambano la Mayweather vs Ortiz ndio lilifanya mchizi nikamshusha kinoma, sio uana-michezo wala uanaume jamaa alionyesha.

Kuna documentary niliwahi kuona jinsi 'Italians' wanachezesha boxing ki-godfather na kupanga matokeo. Toka enzi ya kina Liston vs Ali. So pia sina mzuka sana na hilo pambano.
 
Mbona unadanganyika kirahisi.

Ukiwa upande wa Mayweather mbele ya huyu Mfilipino ni kujitafutia presha za bure.

Mimi sitaki bwana maana kila mtu ananivutia kwake nimekua kama ngozi kwenye kuwamba ngoma!
Haya na tusubiri.
 
Attachments

  • 1429724561475.jpg
    1429724561475.jpg
    29 KB · Views: 407
Mimi sitaki bwana maana kila mtu ananivutia kwake nimekua kama ngozi kwenye kuwamba ngoma!
Haya na tusubiri.

Hahahaha..moneyweather ndio habari ya mjini
 
Attachments

  • 1429724909020.jpg
    1429724909020.jpg
    62.7 KB · Views: 382
  • 1429724924444.jpg
    1429724924444.jpg
    67.4 KB · Views: 367
Huyu mayweather ni mtoto wa mama tu kwa pac,ashasanda mara kibao kukutanishwa na jemedari la kifilipino,kila wakitaka kupambanishwa pambano likikaribia tu utamsikia huyu mtoto wa mama analeta visababu vya kike kike oooh,pac anatumia dawa za kuongeza nguvu,ilhali si kweli,yaani kimsingi alikuwa anaahirisha kichapo tu,huyu changudoa wa kimarekani lazima akae,tecnic zake za kitoto #team #pacquao ipo makini sana
 
Hapo umenena, wacha mtoto wa mama akubali kipigo
 
Mkuu mnyepe kwani kitakachopigana ni hizo dollars au ni mtu mbili ulingoni?style hiyo ni ya kizamani anaweza hata akafanya mtoto wa nyoka mwenye makengeza (Chenge) akapiga pic na hela za baba'ake akaiweka insta na watu wakapagawa ila huyo Mayweather atapigwa vizuri na atatulia labda unishawishi kwamba hizo hela zake atazitumia kupunguza stress na warembo wakati huo Manny Pacquiao akiwa kwao Filipino akiwaza kugombea urais(kwa sasa kama sikosei ni meya kwenye mji alikozaliwa).
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom