Mkuu mnyepe kwani kitakachopigana ni hizo dollars au ni mtu mbili ulingoni?style hiyo ni ya kizamani anaweza hata akafanya mtoto wa nyoka mwenye makengeza (Chenge) akapiga pic na hela za baba'ake akaiweka insta na watu wakapagawa ila huyo Mayweather atapigwa vizuri na atatulia labda unishawishi kwamba hizo hela zake atazitumia kupunguza stress na warembo wakati huo Manny Pacquiao akiwa kwao Filipino akiwaza kugombea urais(kwa sasa kama sikosei ni meya kwenye mji alikozaliwa).

#Team Pacquiao
Tiketi zimeisha ndani ya dakika moja (sekunde sitini!!!), walanguzi washazilangua!Ticket zimeuzwa dakika chache tu na sasa zinauzwa tena mitandaoni kwa $141,000
Tiketi zimeisha ndani ya dakika moja (sekunde sitini!!!), walanguzi washazilangua!
Ticket zimeuzwa dakika chache tu na sasa zinauzwa tena mitandaoni kwa $141,000
Unatoa hiyo hela halafu pambano linaisha ndani ya nusu saa. Kweli watu wana hela sana.
nauliza suali kipindi kile cha miaka ya 1997 niliwahi kuona pambano la tyson vs evander holyfield na kama sikosei ndio ilikua uzito wa juu kuhusu huu mchezo wa ndondi jee na hili la leo ndio kama lile ?
2 miaka hii tulio nayo inamaana wakubwa wa huu mchezo ni hawa jamaa floyd na paquiao
huyu floyd miaka ya ndondi kuanzia miaka ya 1995 jee na yee alikua katika gem au kaja baada ya wakongwe kina tyson , holyfield ; lewis na wengineo wamesha staaf leo anajiona hakuna kama yee.