donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wenzetu hata uwe mbabe vp lazima uwe na walinzi. Ndio maana hata rais Vladimir Putin pamoja na umasta wake wake wote lazima atembee na walinzi thou kuna kipindi hua anawakazia anaenda porini mwenyewe kujinoaSasa na ubabe wake wa boxing hao mabaunsa wa nini....
Kumbe naye muogaee, mtaani anaufyata!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namuona JB muigizaji kwa mbaaaaaali
Yule si mwanae mara nyingi wanakuaga wotepembeni kulia picha ya pili juu namuona 50 cent ...vp asee ameisoma namba mpaka kaamua kudoea kwa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dj benn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Namuona JB muigizaji kwa mbaaaaaali
Hahaha la kua na masela mabigi ama??Life style hili mpaka raha yani
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Ya zamani hyo.kabla ya bifu.angalia t shirt zao hazina TMT.pembeni kulia picha ya pili juu namuona 50 cent ...vp asee ameisoma namba mpaka kaamua kudoea kwa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app