Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 16
Nimeendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi Tanzania. So far, kwa yale ambayo yameripotiwa, CHADEMA imefanya (kuongoza) katika mikoa ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini. Ukifuatilia sensa ya karibuni, hii mikoa (ukiacha mkoa wa Dar) ndio ina watu wengi Tanzania.
Mkoa wa Dar es salaam, chadema imebanana na ccm (kuongoza baadhi ya vituo). Mikoa ambayo chadema haikufanya vizuri sana ni kati (singida etc), kusini (lindi na mtwara) na zanzibar. Population ya hii mikoa yote combined, ni sawa ni population ya mikoa ya mwanza na shinyanga. BTW, katika mikoa hii (na mingine ya Pwani), ccm imegawana kura na chama cha CUF.
Ona picha hii kwa hisani ya Mjengwa (na citizen):
Kwa flow hii, Dr Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushinda uraisi wa Tanzania.
Unless .........