Elections 2010 Flow ya matokeo yanaashiria Dr. Slaa kushinda?

Solomon David

JF-Expert Member
Mar 1, 2009
1,148
16
Nimeendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi Tanzania. So far, kwa yale ambayo yameripotiwa, CHADEMA imefanya (kuongoza) katika mikoa ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini. Ukifuatilia sensa ya karibuni, hii mikoa (ukiacha mkoa wa Dar) ndio ina watu wengi Tanzania.

Mkoa wa Dar es salaam, chadema imebanana na ccm (kuongoza baadhi ya vituo). Mikoa ambayo chadema haikufanya vizuri sana ni kati (singida etc), kusini (lindi na mtwara) na zanzibar. Population ya hii mikoa yote combined, ni sawa ni population ya mikoa ya mwanza na shinyanga. BTW, katika mikoa hii (na mingine ya Pwani), ccm imegawana kura na chama cha CUF.

Ona picha hii kwa hisani ya Mjengwa (na citizen):

0.jpg

Kwa flow hii, Dr Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushinda uraisi wa Tanzania.

Unless .........
 
Shukrani kwa tathmini..hongera kwa uzalendo..maana wanaomshabikia huyu jamaa seem wako kiajira zaidi ilihali sisi ni uzalendo!
 
Cha kusikitisha zaidi... zile sehemu maskini zaidi kama kondoa kaskazini ndio bado wanawapigia ccm... kweli mtaji wa ccm ni jinga, maradhi na umaskini
 
Hawa wanahitaji msaada mkubwa sana...Ikibidi hata maombezi na Novena!
 
Unless chakachua jazz band iingie.

Nimeendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi Tanzania. So far, kwa yale ambayo yameripotiwa, CHADEMA imefanya (kuongoza) katika mikoa ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini. Ukifuatilia sensa ya karibuni, hii mikoa (ukiacha mkoa wa Dar) ndio ina watu wengi Tanzania.

Mkoa wa Dar es salaam, chadema imebanana na ccm (kuongoza baadhi ya vituo). Mikoa ambayo chadema haikufanya vizuri sana ni kati (singida etc), kusini (lindi na mtwara) na zanzibar. Population ya hii mikoa yote combined, ni sawa ni population ya mikoa ya mwanza na shinyanga. BTW, katika mikoa hii (na mingine ya Pwani), ccm imegawana kura na chama cha CUF.

Kwa flow hii, Dr Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushinda uraisi wa Tanzania.

Unless .........
 
So far Chadema imechukua karibu miji na majiji yote makuu ukiacha Dar ambayo nayo bado iko kwenye hatihati labda na Dodoma, vile vile imejiongezea Halmashauri ukiacha Karatu na Tarime kuna Moshi mjini pia, big up Chadema.
 
Ninawasiwasi sana na Dodoma ila Dar ninahakika kuwa overall kura nyingi zitakuwa kwa Dr Slaa (Phd). Ninaona pia Prof Lipumba akichukua kura toka kwa Kikwete (sio Dr wala Dk) kwenye baadhi ya sehemu za Dar es salaa.

Unless.......
 
Kila nikiangalia link aliyotuwekea Maxence..........NEGATIVE
 
Cha kusikitisha zaidi... zile sehemu maskini zaidi kama kondoa kaskazini ndio bado wanawapigia ccm... kweli mtaji wa ccm ni jinga, maradhi na umaskini
ni kweli leo ndiyo niamini kwamba wanjinga ndiyo wengi sana ccm...mfano kati ya watu 5 ambayo hawakuweza hata ku-tick kiongozi wanao mtaka wote ni ccm...na wakati wa uhesabuji kura kura njingi za ccm utakuta wametick zaidi ya mara moja....
 
Amani ya bwana iwe nanyi nyote!

Last edited by a moderator:
Mkuu Ogah, Max bado ana-update link yake

Tatizo si Max, tatizo ni chanzo rasmi.... maana hadi sasa chanzo rasmi ni vituo tu ambavyo kura zake si zaidi ya 500. Lakini taaria zisiizo rasmi (ambazo nyingi ni sahihi) tunazipata humu, kule nadhani kuanzia asubuhi zitakuwa zinashuka kwa kasi na wote mtahamia huko
 
notwithstanding what you say but i still believe ..............kama anavyosema huyu dada HAPA
 
Mungu ibariki internet. Hamjui nikoktk nchi gani ambayo hawaruhusu mabadiliko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom