Flora Nducha ameolewa na nani?

Sikonge,

Nilisoma na L Nducha huku Bukoba - Ndolage Nursing School - Hivi yupo wapi siku hizi?

Baba Enock,
Mwanzo nilikuwa nafahamu kuwa Nducha ni watu wa Sikonge. Baadaye yule mama wa kupika chai akawa kimya. Nafikiri walijahamia Mpanda / Urwila kama sikosei. Ila nilipokuwa Arusha nikawafahamu hao nducha wawili mtu na nduguye. Mmoja wazazi wake wakiishi Mpanda (Mlokole wa Kisabato na Fundi mchundo ujenzi) na mwingine wazazi wake wakiishi Kibaha (yeye akisomea Umeme). Tangu miaka ya 80 mwishoni nimepotezana nao hadi leo. Mwaka 90 niliishi na huyo kijana nimeandika Mdoe na baba yake tukimwita shemeji kwa kuwa kaolea hiyo familia ya Nducha. Mtu wa mwisho kumuona alikuwa Nducha mmoja akifanya kazi Wizara ya Sayansi, tech na elimu ya juu. Huyu alikuwa ni baba yao mdogo kama sikosei. Kutoka hapo sikupata habari zao zozote hadi nilipokuja kusoma humu ndani kuwa kuna Flora Nducha mtangazaji wa BBC.
Kama wamhitaji sana huyo jamaa basi naweza kutafuta simu ya huyo A. Nducha na ninauhakika ataweza kukupa maelezo ya huyo L. Nducha kwa sasa yuko wapi na anwani yake. Huyo A. niliambiwa ni kaka yake wa kuzaliwa FLora.
 
Napata wakati mgumu kushiriki JF kama mitazamo na mambo yenyewe ni haya ya umaarufu na majungu....

Tubadilike...kuna mambo mengi sana ya kujadili na kufikia maamuzi...si kujadili tuu...

Tunachonga sana!!!!!!!! If i may say...
 
Ndg yangu,

Siku zote upuuzi huandikwa na wapuuzi. Hii ni FORUM siyo Ze...... mlikozoea kuandika upuuzi. Jamiiforums huchangia watu makini na ndiyo maana hata vyombo vya habari makini navyo vinaitumia Jamiiforums kama chanzo cha uhakika cha habari. Kama unataka kujua nani kaolewa au kaoa nani basi nunua magazeti ya udaku mitaani na siyo kupoteza muda wako kupekua kwenye Jamiiforums. Tuachie watu tulioenda shule tuendelee kufanya mapinduzi ya fikra ya kuikomboa nchi yetu kupitia Jamiiforums.
 
Mkuu, nadhani kuna ukweli kwenye hili, kwenye matangazo ya BBC leo jioni, nimemsikia Sarleem Kikeke akimtania kuwa 'kwenye kidole cha chanda kuna kitu upo tayari kunambia?' Akasema 'hapana, nimefumba mdomo'

So kuna ukweli fulani, japo details ndo bado scant

Hongera Flora kwa kumpata mwenza

kaizer ungesoma mawazo ya wenzako juu, kama kweli member mfia jf. kaka bbc wamesema hivyo ndo iweje. wanachokataa hapa ni matokeo ya umbea, tetesi zizojenga kutoka vilabu vingine. huoni kuwa kwa kuaminiwa kwa habari za hapa na kuonekana za muhimu hata baadhi ya vyombo vya habari wanaquote kama reliable source. HAKUNA JUNGU HAPA,.

Mkuu hapa tunahabarishana ukweli tu, again BBC wamesema leo kuwa sasa FLORA anaolewa rasmi, na shemeji yetu anatoka Mangaribi mwa Kenya na anaitwa Tom Awori,. Kama ingekuwa ni umbea baso chombo kinachoheshimika kama BBC wasingekuwa wanatupa updates za hii kitu. Nandio maana ipo hapa ukumbi wa macelebrities, na sio pengine.

Kila la heri Flora Nducha. Maisha mema na mwenzi wako.

On a separate note, JF sio ya kuaminiwa ki hivyo na ndo maana habari nyingine huwa ni tetesi kaka.

Nitamshangaa mwandiishi atakayeandika upuuzi kisha eti kudai kuwa amequote JF kama reliable source ..hiyo itakuwa kichekesho cha mwaka!
 
Big up F.Nducha maana ungezeeka hivi hivi bila kuwa na single.
Wanao sema udaku na umbea hawa hawakutakii mema tafadhari naomba nialike kwenye mnuso. Najua upo hapa hapa.
 
Big up F.Nducha maana ungezeeka hivi hivi bila kuwa na single.
Wanao sema udaku na umbea hawa hawakutakii mema tafadhari naomba nialike kwenye mnuso. Najua upo hapa hapa.

kamanda pitia kabisa kwa jeni manake usije kuzimika huko leo hakuna kulala..
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
kwani we ume oa/olewa na nani?
ingependeza kama ungekuwa unamtakia mafanikio unamuombe Heri.
au ndugu yetu unadeal na magazeti ya UDAKU so unatafuta habari.!!
 
Kwa kumsaidia Uyo jamaa.Flora anfunga harusi leo na anaolewaq na jamaa mmoja wa kaskazini mwa kenya somebody Johnm or James AWORI Sourse: SOLOMON MUGERA(BBC-ASUBUHI) SIO YEYE NA ANN MAWADH PIA WA BBC-NAIROBI ANAOLEWA.
Jamaa umetemwa nini?
Habari ndio hio!
 
Big up F.Nducha maana ungezeeka hivi hivi bila kuwa na single.
Wanao sema udaku na umbea hawa hawakutakii mema tafadhari naomba nialike kwenye mnuso. Najua upo hapa hapa.

Fidel ukitoka kwenye mnuso basi uje na jibu toka kwa dada yetu akujuze kama shemeji yetu ni "mtu mzima au la"
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???

Teh!! teh!! teh!! teh!!,

Unataka nini aisee. Flora keshachukuliwa moja kwa moja na waliyekubalina; sasa wewe inakuhusu nini?

Watu wengine bwana! @#^$&^*&^)&*()(_)((*(&&*))*)(*(*^&*^$@!#@!#!@#$#$$$#
 
sasa kuolewa ni nongwa? hovyoooo....ukimjua ndo iweje? ndo yale yale ya mara oh.......charles boniface kaachana na mkewe betty mkwasa mara oooo kajengewaa na wanaume nyumba ya ghorofa mara ooooo ana mabwana ukiwa nazo tu wee twende mtakalia hayohayo wenzenu wanayeya........ lakini si busara kuwasema watu kwa vitu ambavyo hamvijui wala hamna uhakika navyo fikirieni mngesemwa nyinyi na nd. zenu plus waume, wake na watoto wenu wasome uchafu huo kwenye glob mngejisikiaje? hovyooooooo..........yatawashinda laana kum nyie!!!!
 
Mmmh!!
 
Mkuu, nadhani kuna ukweli kwenye hili, kwenye matangazo ya BBC leo jioni, nimemsikia Sarleem Kikeke akimtania kuwa 'kwenye kidole cha chanda kuna kitu upo tayari kunambia?' Akasema 'hapana, nimefumba mdomo'

So kuna ukweli fulani, japo details ndo bado scant

Hongera Flora kwa kumpata mwenza

Sasa kama ni kweli,, kumjua mumewe ndio nini?
 
Back
Top Bottom